kwa mifumo hii sisi graduates ambao hatuna experience tutaishije?

kintunu

Member
Jul 20, 2011
11
0
wadau ambao tunatafuta kazi na kutegemea ajira na ambao hatuna uzoefu wa kazi i.e experience tushirikiane kuishinikiza serikali yetu ili ikomae na makampuni yote ili yatoe vipengele vya uzoefu kazinia au mnasemaje wadau wenzangu?
 
Tatizo lenu nyie wanafunzi mnapenda kufanya field sehemu then na ulipwe pia. Kama unataka experience nenda hata kwa wahindi, unachapa mzigo ila pay no utatoka hapo kazi unaijua. ILA ni kweli system inabidi ibadilike la sivyo man hakuna kitu hapa.
Nawkilisha
 
imagine we ndo ungekua na kampuni, je ungemwajil mtu ambaye hajui kazi wakati wanao jua na wenye uzoefu wapo?
 
Vile vipengele vinakatisha tamaa "exp mpaka miaka 9!!!? jamani tusikubali lazima tubadili mfumo kwani nchi inaenda siko.
wanazuoni tusimame jamani!!!
knowladge makes social change
 
Huwa sikubalian na hicho kipengere, hivi hata hawa wenye experience walianzaje? Nipo safarini, narudi kijijini nikajipange upya.
 
Serikali hawafwatilii sana we danganya tu ulikuwa unafanya wap huko.
 
Ishu ya experince for employment ni tatizo maana hii inamfanya graduate asipate kazi kabisa mara tu amalizapo chuo! Kwani hawa wenye uzoevu walipateje ajira? Yeah,zipo kazi ambazo ni kweli exp ni mhimu (e.g Director) but nyingine ni complication tu za waajiri....kwa graduates jamani kuna baadhi ya vacancies,just fields/practicals alizofanya m/funzi akiwa chuo ni experince tosha ya kupata/kufanya job. Ni kweli Serikali iyabane haya makapuni ili yapunguze urasimu/ukiritimba ktk kuajiri freshers from colleges!

Yeah,ila kuna makampuni yanajitaidi japo ni machache sana,,,,,,mimi ni m1 kati ya tulioajiriwa kwa experince ya fields/practicals!
 
Ukweli hili ni tatizo kubwa sio hapa kwetu tu bali hata kwenye nchi zilizoendelea, Ulaya na America.
 
Ni kweli kitu kinaitwa 'expereince' ni kikwazo kwa wasomi toka vyuoni.

Napendekeza wabunge machachari kama aina Mnyika, Tundu Lissu, Kafurila, Zitto Kabwe n.k. wapeleke hoja binafsi ya kutungwa kwa sheria ama kurekebisha sheria za kazi zilizopo ziwabane waajiri wote waondoe sifa inayoitwa 'experience'.

Hivi kama waajiri wote wangetaka kila mtu awe na 'experience' wangewapata wapi bila kuwapa kazi?
 
naomba ieleweke hivi.........kufanya kazi miaka mi4/mi5 bado hakukupi guarantee ya kuijuz kazi husika..kuna watu wapo kwenye vitengo 10 yrs lakini ukimwambia adescribe kazi yake anabaki kung'aa macho...u graduates cha msingi be confident,make sure zile PT/TP mmezifanya kiuhakika na show them that u can do it!!maana ata hao wenye xperience zao wanaingizwaga kwenye intaview...ingekua ni kigezo sana basi wangeingia strait...kuna watu humu hata kuandika cv zao hawajui leo analia hana experience...ndo wale filed training mnashinda FB...kalaghabao!!!!!!!
 
absolutely,chipunguzi wala chiongozi chochote.ujumbe umefika.
 
Back
Top Bottom