Kwa miaka sita T- shilling inaporomoka, Franc ya Rwanda inazidi kuwa imara dhidi ya Dola (USA)

bemg

JF-Expert Member
Apr 25, 2010
2,799
642
Wana JF nimejaribu kupitia thamani ya Shilling ya Tz inavyozidi kuporomoka kwa asilimia kubwa ukicompare na pesa ya Rwanda Franc dhidi ya dola ya marekani(US).Kwa takwimu hizi ni kusema kwamba serikali yetu na BOT hawafanyinyi chochote cha ziada kudhibiti kuporomoka kwa thamani ya shilling yetu ndiyo maana maisha kwa watanzania yanazidi kuwa magumu.Tafadhali wanaohusika wasimamie rate isifike 2000 kwa $.Tanzania tajiri wa maliasili kuliko Rwanda lakini kwa maendeleo tunapitwa na Rwanda kama tumelala.Inauma sana.


TANZANIA SHILLING
USD/TZS Details
DATE/TIMESelling 1.00000 USDBuying 1.00000 USDInc/Decrease %
Jun 26, 2006 22:00you get 1,215.46 TZSyou pay 1,293.21 TZS
Jun 25, 2007 22:00you get 1,230.11 TZSyou pay 1,274.71 TZS1.19
Jun 25, 2008 22:00you get 1,146.06 TZSyou pay 1,193.24 TZS


-7.33
Jun 25, 2009 22:00you get 1,298.21 TZSyou pay 1,340.69 TZS11.72
Jun 25, 2010 22:00you get 1,432.49 TZSyou pay 1,481.29 TZS9.37
Jun 26, 2011 22:00you get 1,580.10 TZSyou pay 1,622.40 TZS9.34
RWANDA FRANC
USD/RWF Details


DATE/TIMESelling 1.00000 USD Buying 1.00000 USDInc/Decrease %
Jun 26, 2006 22:00 you get 527.691 RWFyou pay 575.413 RWF


Jun 26, 2007 22:00you get 535.640 RWFyou pay 557.930 RWF


1.48
Jun 26, 2008 22:00you get 530.406 RWFyou pay 549.526 RWF


-0.99
Jun 26, 2009 22:00you get 555.441 RWFyou pay 576.768 RWF


4.51
Jun 26, 2010 22:00you get 574.544 RWFyou pay 595.989 RWF


3.32
Jun 26, 2011 22:00you get 590.580 RWFyou pay 611.730 RWF


2.72
 
Kwa kweli ina uma sana na hakuna anaekuja na jibu la uhakika.
 
Kwa hiyo huu uchumi unaokuwa kwa asilimia 7 inahusiana na maboresho ya uchumi wa posho za wabunge tuu?


Watanzania ni wasahaulifu. Aliyepigia kelele kuongezwa posho za wabunge ni Samwel Sitta. Leo anasema hazifai na watu watashangilia!
 
Acha kufananisha vitu viwili visivyofanana, Huwezi kufananisha Tanzania na Rwanda. Kumbuka Rwanda wao wana Kagame na sisi tuna kikwete vitu viwili tofauti kabisa.
 
Taifa la wachuuzi --- shame!!!

Import /Export ratio [ 6:1 ] lol
 
Acha kufananisha vitu viwili visivyofanana, Huwezi kufananisha Tanzania na Rwanda. Kumbuka Rwanda wao wana Kagame na sisi tuna kikwete vitu viwili tofauti kabisa.

kweli umemchoka aisee
 
Back
Top Bottom