Kwa mheshimiwa rais kikwete tu

Nafikiri ataelewa maana lazima ataisoma tu hakuna njia ya kuikwepa hasa kipengele cha wale twiga
 
Hodi katika ukurasa huu wa JF Mimi ni mara yangu ya kwanza kubisha hodi naomba mnikaribishe. Na nimefurahishwa na ujumbe wa mhe na huu ni mchango wangu ninavyoona Kutokana na maelezo aliyoyatoa tunaweza kusema kuwa bwana huyu ni sawa na 'SIKIO LA KUFA HALISIKII DAWA' Aliingia na falsafa asiyoijua maana, madhara na manufaa ya hiyo falsafa. Hivyo ameamua kwenda nayo kinyume nyume ndiyo maana haoni kitu cha kuongea maana ameshindwa. Na ushauri tu ni kuchukua umzi kama alioufanya mwl baada ya kuona alichokikusudia kimegonga ukuta.
 
hapa mi naona majibu ya huo waraka,au barua ya wazi kwa rais,kama atakujibu utakua una bahati sana mdau, mi nadhani hapo angetakiwa tu atuachie nchi yetu na arudi zake comoro, maana sina uhakika na uraia wake kma ni Mtanzania original kwani tunayotendewa wananchi na viongozi wake,yeye inclusive yanatisha na wala hatoi kauli yoyote,so nadhani mda ndio huu a step down . . . .na atutangazie tareh mpya ya uchaguzi mkuu . . . . . .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom