Kwa mh.john mnyika

Crecent

Member
Feb 17, 2012
35
8
Salamu Mh.
Napenda kuchukua fulsa hii kuongea nawe kuhusu jimbo letu Ubungo,Mh. naomba utufikishie swala hili mahali husika,swala ni barabara ya Mabibo Mwisho hadi Kona ya urafiki,barabara hii muda si mrefu itapotea kwani imeharibika sana,yaani ni mashimo tu kuanzia hapo mahakama ya ndizi hadi kona, vilevile barabara ya kigogo ubungo stand mkoa,hii ndio kwanza mpya ila tatizo haina wafagiaji,hii imesababisha kufukiwa kwa barabara kwa sehemu kubwa na kijisehemu chembamba kubaki kama lami,naomba nalo Mh. ulifatilie maana kuna dalili za kupoteza barabara nzuri.
Asante,Utendaji mwema Mh.
Mwana maendeleo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom