Kwa Mbunge Wangu Halima Mdee

Status
Not open for further replies.
In light of new details. Mbunge wangu Halima Mdee (together with Zitto and them) was against the idea but was outvoted by wanaofuata fikra za Mwenyekiti Mbowe. She was not even at the parliament that day. I guess, I knew you were much smarter than that. Way to go mama.

Abdulhalim--Ustaadh, I'm not who you think I am. Trust me on this one. Ofkoz Mbunge wa Bumbuli kichwa and I am fan. Just like a fan for Halima Mdee.
 
Selemani said:
Abdulhalim--Ustaadh, I'm not who you think I am. Trust me on this one. Ofkoz Mbunge wa Bumbuli kichwa and I am fan. Just like a fan for Halima Mdee.
FTR, I am a proud infidel.

And, u and I know how it's going down, so cut the c.r.a.p.
 
FTR, I am a proud infidel.

And, u and I know how it's going down, so cut the c.r.a.p.

Okay if you insist to remain gizani, I was just providing mwangaza. Sio ishu. Unaweza mpeleka ng'ombe mtoni lakini haumlazimishi kunywa maji. I would be suprised if mbunge wa bumbuli spend all this time in Jambo Forum (like I do). Then Bumbuli is in trouble. But you are the smart one here, and you insist. InshaAllah one day utatoka kizani on this matter.

Back to Halima Mdee, YES she was against Slaa and Mbowe and decided not to even show up. Which is much better than what I initially thought.
 
Mheshimiwa Halima James Mdee;

Hata sisi makada wa ccm tuliukubali uchaguzi wako kwa roho moja. Knowing you are independent mind, and you will go to bunge and bring kawe improvements and also creating legislations that will improve maendeleo ya nchi yetu kwa ujumla. Halima, wewe bado mchanga katika siasa zetu, hata hivyo umeonyesha uwezo mkubwa tu wa kufikiria na kuchanganua mambo.

Umekwenda bungeni tukijua kwamba ili uweze kuleta mabadiliko uliyoyaongea sana kwenye kampeni zako inabidi ufanye kazi bega kwa bega na wabunge wenzako pamoja na watendaji wa serikali. Ulivyoapishwa kuwa mbunge ulikubali kulitumikia taifa kwa misingi ya katiba yake. Na ukamuomba mola akusaidie. Sisi tulipata faraja sana, kuona mbunge kijana na mwanamama akituwakilisha, ukiachilia mbali itikadi zetu tofauti za kisiasa.

Halima, umekwenda bungeni baada ya wiki moja tu, hatukuelewi vizuri. Umeapa kufanya kazi na serikali hii lakini jana umefuata mkumbo na kutoka kwenye hutuba ya raisi. Kwa sisi wakazi wa kawe, kuwalk out sio tatizo. Tatizo ni unafiki wa hicho kitendo, juzi uliapa kuwa mbunge knowing kwamba lazima ufanye kazi na serikali hii. Pia utaanza kutimiza ahadi zako ulizotuahidi. Lakini, pia unasema kwamba humtambui rais jakaya. Halima, unatuchanganya huku jimboni. Miaka 5 ni mingi, na kama utakuwepo bungeni kufanya hii michezo ya kuigiza kwa kipindi chote, nadhani utakuwa unapoteza sana potential yako. Kwa sisi tunaokujua, tunaamini kabisa kwamba umeshindwa kwenda kinyume na uongozi wa chama chako. Lakini hilo haswa ndio linalotuogopesha, kushindwa kufuata misingi yako kwa sababu ya shinikizo la uongozi wa freeman na mwenziwe willbrod.

Huku kawe ni wewe pekee utayekuwepo kwenye ballot hapo 2015. Na sisi wana kawe tutakukumbuka kwa yale uliyojenga na sio kubomoa. Mpaka dakika hii, hujajenga hata moja, na unabomoa misingi ya ushirikiano with your number one partner in development of kawe, serikali ya ccm.

Ni hayo tu, karibu tegeta.

Selemani.

Ps; kawe ulipata kura 43,365. Rais jakaya alipata kura 45,321 (48%). Nakuomba ulifikirie hilo

Pole sana Seleman. Umecheza mchezo wa siasa bila kujua kanuni zake. Nikuulize maswali machache. Je una mke? Je mshawahi kutofauti julisha na kununiana? je inapotokea hali hiyo shughuli zote za ushirikiano kama kupika na kupakua huwa mnasitisha au zinaendelea? Nataka nikupe elimu hii ndogo. shida kubwa ya watu wa KAWE na maeneo mengi ya Tanzania ya leo ni kutotendewa haki katika huduma nyingi na hasa za kijamii (Rejea ripoti za CAG 2005-2010). Haki ya tangulizi inapatikana kwenye uchaguzi. kitendo cha Tume ya uchaguzi kukiri kukosea matokeo katika baadhi ya vituo halafu bado zoezi la kura likaendelea na mshindi kutangazwa bila kutoa ufafanuzi kwa Watanzania ni makosa makubwa sana. Labda nikueleza kuwa KURA siyo karatasi. Kura ni sauti iliyotoa tamko. kubadilisha tamko la mtu ni kosa kubwa. Angalia matokeo ya Geita, Vunjo nk. TATIZO kubwa ni katiba. Na kama kudai katiba kiustaarabu, watu wamefanya tangu 1992 na viongozi wa ccm wanasema hawaoni tatizo? unatakiwa kumpongeza Bi Halima Mdee kwa kuwa atakuwa mmoja wa mashujaa walifanikisha kuandikwa kwa katiba mpya na kuleta ukombozi wa kweli kwa watanzania. WANAHITAJIKA KINA HALIMA WENGI ZAIDI kwa sasa kuliko kina SELEMANI kama tunaitakia mema nchi yetu.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom