Kwa mawazo yako una ipa miaka mingapi CCM

Kwa viwango hivi hapa JF unapata picha ya jibu la mada hii " CCM will stay there for long unforeseen period"
 
ki haki they don dzev even 1 mo yr...ila kwa watz sie,rushwa ile,uongozi huu,upinzani wa kisanii huu na uchawi wao...wanaweza stay there till kiama....
 
ki haki they don dzev even 1 mo yr...ila kwa watz sie,rushwa ile,uongozi huu,upinzani wa kisanii huu na uchawi wao...wanaweza stay there till kiama....[/QUOTE]

............. ............ !point blank............. ............. !
 
me mbona naiona iko so clear???upianzani...wapinzani wa kwelini wachache wengine woote ni wasanii if not wana ccm,uchawi...sidhani ka wa need nielezee zaidi...else sioni chama cha kuja kushinda chama cha matapeli na mafisadi holding the above mentioned factors constant...
 
Tuseme ukweli kabisa, yako wapi majina ya Lyatonga Mrema, Dr Slaa? na wengine wengi, au tunajifanya tumesahau?

Dr Slaa alitaja majina na tuhuma zinazowakabili, basi taja majina na tuhuma zinazowakabili weka hapa hapa. vinginevyo nitafikiri kuwa umepewa fungu.
 
Hapo sasa ndipo tunapokusea mtu akiwa na mawazo tufauti anaambiwa kapewa kiasi... sasa hao wa vyama vya ushindani nao wamepewa kiasi gani, tuache hii haijengi...

Ukitoa tuhuma unatoa kila kitu unachokifahamu siyo abstract hili tujue mamboya ufisadi tuna detailed documents kwa hiyo usiwe unaleta abstract halafu unaogopa tusikuulize maswali utaulizwa tu mkuu usiogope kuitwa FISADI kwa kutetea mafisadi mkuu.

Mtetezi wa mafisadi ni fisadi
 
ukiweka matakwa binafsi pembeni, ccm wana miaka angalau 20 mbele, unless hatua za kusudi zichukuliwe na upinzani .

upinzani haupesa ya kutosha kwenda kuelimisha vijijini kuhusu ubora wa upinzani kuchukuwa madaraka.

wakati huo huo, ccm ina mbinu chafu pamoja na zile za vitisho kushikilia madaraka.

bado safari ni ndefu, lakini tutafika
 
CCM itaendelea kuwepo kwa muda mrefu tu unless juhudi za makusudi kabisa na za dhati zitafanywa na upinzani. kuna maeneo kadhaa ambayo wapinzani wanatakiwa wayaangalie. Kwa mfano kujitangaza zaidi maeneo ya vijijini ambayo pengine bado wanajua Rais ni Nyerere. Huko ndiko kwenye wapiga kura wengi baadala ya kupiga kelele nyingi huku mjini. Kupiga kelele kwenye media kama magazeti, internet hakusaidii chochote. Kwani ni wanachi wangapi wana access na internet au magazeti? Upinzani bado hauna radio au vituo vya Television ambavyo vitasaidia kuuza sera zake kwa wananchi. Media zenye coverage kubwa ni either za serikali au za watu binafsi ambao wako upande wa CCM ambazo haziwezi kuwasaidia wapinzani hata kidogo.
Bado najua wapinzani na muungano wao huu hawajajipanga vizuri katika kuikabili CCM zaidi ya kwenye kutoa list of shame. Ukitaka kuhakikisha hili, utaona wakati tunakaribia kwenye uchaguzi. Hapo ndipo utaona kila mtu anakwenda kivyake.
Kuna tatizo la viongozi wetu hawa kutokuwa na jipya. Tangu chaguzi za vyama vingi zianze tumeona viongozi wale wale wakigombea tena wakija ni nyimbo zile zile za kuponda chama tawala na kutotupa sera zao. Ni vyema kuponda CCM kukaendana pia na kutoa sera za zao na pia kutupa way forward, sio kuishia kulalamika tu.
Wapinzani tuna kazi kubwa, Mungu Atubariki
 
Sio mna kazi kubwa bali mna kazi isiyokwisha,kuna watu hapa eti wanalinganisha na Wakenya,jamani wakenya kama hamfahamu KANU ilikatika mapande mawili ,ila kwenye CCM utasikia kuna mitandao sasa tabu ni kuwa mitandao hii haiwahi kujikata huungwa ungwa ikachomekewa chomekewa ikatulia tuli,hapa Mh.Mapuri aliteleza ,ikawa pata shika akatolewa akachomekwa Uchina mnapoambiwa CCM tuna mbinu zetu basi mfahamu kazi mlionayo ya kuisambaratisha CCM si ndogo na haina mwisho,hizi honi za barabarani hazimsitui mruka njia wa bongo,anagongwa mmoja wengine wanakata njia ndivyo ilivyo CCM,sasa wapinzani wapo na Karamagi haya Karamagi akifungwa si ndio mtakuwa mshakatwa kimeo,watu haooo wanapuyanga na ndio kama mtakavyoona timu mpya iko uwanjani,ikitoka hapo asie na mwana abebe jiwe.
 
Tukipata katiba mpya hata kesho itaondoka madarakani

Usitegemee katiba mpya kuiondoa CCM ,yaani unategemea misingi gani ndani ya katiba hiyo mpya ,halafu katiba si umeona imeshapigwa buti ,wanasema mpaka baada ya 2015 ! Wamishaanza kurusha sms :moony:
 
Siamini haya maneno uliyasema 2007 kweli uliona na kuwaza mbali mwanga sasa unaonekana
 
Siamini haya maneno uliyasema 2007 kweli uliona na kuwaza mbali mwanga sasa unaonekana

Nipo katika mstari uleule kwani bado kama upinzani huu tunaokwenda nao wa kubishana hadi tunaingia kwenye uchaguzi ,nafikiria sana kuwa tupo nyuma sana kuiondoa CCM ,vyama vya upinzani kuwa na wasimamiaji imara wasiokubali kuhadaika kwa maneno,hela au kufanywa wajinga na kuondolewa na kuondoka kirahisi kwenye vituo vya kuhesabia kura ,mfano mzuri wa mawakala wa vyama vya upinzani ulikuwepo Pemba na bado upo ,ni wabishi wasiokubali ujinga wowote unaotaka kupitishwa katika kituo cha kupigia kura.

Udhibiti wa kanuni na sheria katika vituo ni muhimu ukichanganya na mawakala waaminifu ,upande wa Tanganyika bado mawakala wananunuliwa kirahisi na kulaghaiwa na CCM ,tatizo jingine ni ubadilishaji wa matokeo katika hatua za kutangaza ,hakuna wa kuihoji tume wala kuishitaki kwa kutangaza uwongo wala kusitisha utangazaji ,hii nayo ni njia anayopitia CCM tumeona Unguja. Nini kifanywe na kifanyike kunahitajika vyama vya upinzani kukaa na kutafakari ili kuweza kuzidhibiti njia hizi anazopitia CCM kujipatia ushindi wa che.
 
Kila mmoja ana fikra na muono kwa jinsi hisia za siasa miongoni mwa wananchi wa Tanzania zinavyopanda chati,tuweke tofauti na jazba pembeni,ili kila mmoja wetu aweze kutoa maoni yake ,unafikiria CCM inaweza kukaa madarakani kwa muda gani(Mungu anajua zaidi)Lakini na sisi binadamu tunaweza kukisia kutokana na hali inavyokwenda.

Kwa upande wangu sioni ukaribu wa kuiondoa CCM madarakani kipimo nilichokitumia ni chaguzi zilizopita zinaonyesha vigogo hawawezi kuondolewa kwa kura za upinzani hata siku moja ,CCM imejikita kila sehemu na uchaguzi unapochanganyika na upinzani kuwania madaraka ya kiserikali(Ubunge) huwepo mipango maalumu ambayo upinzani hawana ubavu nayo na kuifanya CCM iondoke na ubingwa ,na CCM wanapokuwa katika ugombeaji huo hupima nguvu zao na huongezwa za ziada pale wanapoona pana shaka na ushindi.

Ninachotaka kukisema ni hizi nguvu za ziada ambazo huwapeperusha wapinzani na wasijue la kufanya,kwa kutoa mfano hai ambao umetumika mara zaidi ya Tatu ni Uchaguzi wa wapemba huko CCM inatumia nguvu hizi kwa dhahiri kabisa(Polisi,jeshi,usalama wa Taifa) na ndio mpaka leo inaendelea kuwepo ,sasa kwa hali inavyokwenda hapa Bongo imefikia wakati nguvu hizo nazo kutumika kikamilifu kama kule visiwani au zaidi ,ndipo nikasema sitegemei ukaribu wa kuing'oa CCMmadarakani kwa sera hizi za kutaja ufisadi na kuwataja mafisadi ,hizi sera hazina mshiko wa kuiondoa CCM madarakani.

Napenda wapinzani mulielewe hili wala halina mabadala,mtasomba wapiga kura wengi.au kwa lugha sanifu mtawateka wengi tu,lakini CCM haishughuliki kwa kuona wamepoteza wapiga kura na kuwasababishia kupoteza kiti,wana uhakika wa kujinyakulia kwa kutumia vyombo vilivyodhibitiwa na serikali yao,CCM haitakuwa tayari kuona wanaipoteza serikali wakati kila kitu wancho na sababu wanazo,hivyo mtasubiri sana.
miaka 40. yan baada ya prof. tibaijuka kuwa rais 2015 - 2025, then wengine awamu 3 zipite ndo prof.lipumba atauchukua urais
 
Back
Top Bottom