Kwa mawakili wa serikali

sw33tboy

Member
May 24, 2011
42
4
jamani kunakitu nataka kufahamu kati ya wakili wa serikali na wakili wa kujitegemea mnataka kunishawishi kwamba wakili wa serikali haijui vyema kazi yake au huwa inakuwaje mana 80% ya kesi mshindi ni wakili wa kujitegemea nijuzeni hapo nduguzangu
 
Kama ni kesi za jinai ni vigumu kuthibitisha "beyond reasonable doubt" na pia kuna msemo kwamba ni heri kuachia huru wahalifu 99 kuliko kumfunga mwenye haki mmoja. Sheria inamsaidia zaidi mhalifu kuliko upande wa mashtaka na ndiyo maana kesi nyingi za Serikali zinashindwa. Wanasheria ni wale wale na vyuo ni vile vile tofauti ni upande mtu anaofanyia kazi.
 
Back
Top Bottom