Kwa matumizi ya kwaida tu!mke/mume???

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Hivi naomba tuwekeni wazi kwa hili kwa hali yakawaida mke/mume ni yupi kati yake kwakipindi cha ujana wake hadi anapofikia miaka 50 ankuwa ametumika sana je inaweza kufahamika idadi yake??je kuna utafiti uliofanyika kuonyesha nimara ngapi alifanya sex?kwakipindi hicho?
 
Kweli kabisa sijakupata vizuri.... But if you mean what you I am thiking, Kaka Kiiza, know that hivo vitu hua vinakua na maintenance na servicing, thou i don't know for guys... Hivo hapo ni sawa na kuuliza kikombe cha bati kimetumika mara ngapi....
 
Hivi naomba tuwekeni wazi kwa hili kwa hali yakawaida mke/mume ni yupi kati yake kwakipindi cha ujana wake hadi anapofikia miaka 50 ankuwa ametumika sana je kunaweza kufahamika idadi yake??je kuna utafiti uliofanyika kuonyesha nimara ngapi mtu anafanya kwa kipindi hicho chote?

Hebu liunde upya swali lako upate kueleweka zaidi.
 
Kweli kabisa sijakupata vizuri.... But if you mean what you I am thiking, Kaka Kiiza, know that hivo vitu hua vinakua na maintenance na servicing, thou i don't know for guys... Hivo hapo ni sawa na kuuliza kikombe cha bati kimetumika mara ngapi....
Ndo ninacho maanisha ila kutakana na tafiti zilizo wahi kufanyika je hakuna majibu?mbona hata mawe yanajulikana umri wake???
 
Kweli kabisa sijakupata vizuri.... But if you mean what you I am thiking, Kaka Kiiza, know that hivo vitu hua vinakua na maintenance na servicing, thou i don't know for guys... Hivo hapo ni sawa na kuuliza kikombe cha bati kimetumika mara ngapi....

maintenance na servicing yake inafanyikaje? Funguka kidogo.
 
Hivi naomba tuwekeni wazi kwa hili kwa hali yakawaida mke/mume ni yupi kati yake kwakipindi cha ujana wake hadi anapofikia miaka 50 ankuwa ametumika sana je kunaweza kufahamika idadi yake??je kuna utafiti uliofanyika kuonyesha nimara ngapi mtu anafanya kwa kipindi hicho chote?

Itakuwa vizumu kupata takwimu sahihi kwani kwa wanaume .. wamegundua njia ya ku-fool "kipima matumizi" kwani wanachukua sabuni na kudanganya eti wanasafisha mashine kumbe ndio wanatumia mashine...
 
Back
Top Bottom