Kwa matokeo haya ya mwaka 2008 naweza pata Chuo cha Afya?

Wee utapataa shidaa sanaa kwa vyuo vya government na sio co maana huwezii pataa clinical medicine wakatii hunavigezo vya diploma kabisaa labdaa certificate private allied health institutes
 
PUBLIC NOTICE
OPENING OF THE CENTRAL
ADMISSION SYSTEM
(CAS) FOR NEW APPLICANTS INTO
DIPLOMA AND
CERTIFICATE IN HEALTH
PROGRAMMES

The National Council for Technical
Education (NACTE) in
collaboration with the Ministry of
Health and Social Welfare
would like to inform the public that
Central Admission System
(CAS) is now open for new applicants
into
Health Training
Institutions for academic year
2015/2016.
Minimum Entry Requirements:
1. Ordinary Diploma: Physics/
Engineering Science – D,
2. Chemistry – C, Biology – C in
O’level.
3. Technician Certificate: Physics/
Engineering Science – D,
4. Chemistry – D, Biology – D in
O’level.
5. Upgrading/Higher/Advanced
Diploma: Biology –
6. D in O’level, work experience of two
(2) years and above,
7. passport size picture, Technician
Certificate or Ordinary
8. Diploma Certificate and Transcript in
the field aspired and
9. a letter of permission from employer.
Nursing applicants
10. should attach a copy of their license
to practice.
NOTE:
All applications should be done
online through
Central Admission System and the
deadline for applications will
be on 18 th July, 2015.
Executive Secretary
NATIONAL COUNCIL FOR TECHNICAL
EDUCATION

TANGAZO
KUFUNGULIWA KWA MFUMO WA
MAOMBI KWA
NJIA YA MTANDAO KWA
STASHAHADA NA ASTASHAHADA ZA
AFYA
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi
likishirikiana na Wizara ya
Afya na Ustawi wa Jamii linataarifu
umma kuwa mfumo wa
maombi kwa njia ya mtandao uko
wazi kwa waombaji wapya
kwenye vyuo vya afya kwa mwaka wa
masomo 2015/2016.
Sifa za kujiunga:
1. Stashahada: Ufaulu wa Fizikia/
Sayansi ya Uhandisi – D, Kemia – C,
Baiolojia – C kwenye mtihani wa
kidato cha IV
1. Astashahada: Ufaulu wa Fizikia/
Sayansi ya Uhandisi – D, Kemia – D,
Baiolojia – D kwenye mtihani wa
kidato cha IV
1. Stashahada ya Juu na mafunzo ya
kujiendeleza:
2. Ufaulu wa Baiolojia – D kwenye
mtihani wa kidato cha IV,
3. mfanyakazi kwa zaidi ya miaka miwili,
picha, na cheti
4. na nakala ya matokeo ya
astashahada au stashahada pamoja
5. na barua ya mwajiri. Waombaji wa
masomo ya Uuguzi
6. waambatanishe leseni ya Uuguzi.
ANGALIZO:
Maombi yote yanatakiwa kufanyika
kwa njia ya mtandao
kupitia Mfumo wa Pamoja wa Udahili
na mwisho wa maombi ni
tarehe 18 Julai 2015 .
Katibu Mtendaji
BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA
UFUNDI
 
Wee utapataa shidaa sanaa kwa vyuo vya government na sio co maana huwezii pataa clinical medicine wakatii hunavigezo vya diploma kabisaa labdaa certificate private allied health institutes

Wacha uongo wako wewe!Unadanganya ili iweje?MD anasoma KCMC,HKU anapta,UDOM anapata.Hayo matokeo sio ya BRN ni ya 2008.co jaimfai kwani ni level ndogo sana kwake.Usipende kukatisha watu tamaa na wakati wewe ulifeli.Ushahidi tunao hapa uspende kua mwongo.
 
Physics D,Chemistry B,Biology D na yaliyobaki ni B&C

Kama ni ya f6 MO unasoma bila shaka kijana.Kama ni kwa F4 nenda certificate,Tatizo lako hujasema ni ya level gani! au ndio kumaanisha Kwa yaliyobaki ni B&C?
 
Wacha uongo wako wewe!Unadanganya ili iweje?MD anasoma KCMC,HKU anapta,UDOM anapata.Hayo matokeo sio ya BRN ni ya 2008.co jaimfai kwani ni level ndogo sana kwake.Usipende kukatisha watu tamaa na wakati wewe ulifeli.Ushahidi tunao hapa uspende kua mwongo.

Kakaaa hayoo aliyoyatajaaa hapoo kwamimiii nilivyoona ni form four hatakabla ya yeye kusema babaa kutokana na alivyosema kwamba hayomengine ni B&C hahaha mbona umepaniki kaka jamaa hayoo nimatokeo yakee ya form four kama si BRN hakuna mengine ni B&C babuu ndomaana nkamwambia vile baba mbona unapanic vituu ambavyo ujavitafsiri kwanza jamaa ni form four huyoo
 
Physics D,Chemistry B,Biology D na yaliyobaki ni B&C

Mkuu kwa gvt, kwa mujibu wa nacte, wanapokea watu walomaliza kuanzia 2009-2014.,kwa matokeo ya BRN vigezo ni Phy= C, Chem=C, na Bios=C, Kwa dipl ya CO..kufaulu Kingereza na Mathematics ni sifa ya ziada, kwa miaka ya nyuma before BRN, Walihitaji Phy=D, Chem=C, na Bio=C.. Hii ni kwa vyuo vya serikali.. Ila vyuo vya privt wanachukua D,D ,C!.. Ushauri wangu omba vyuo vya private kama Sengerema COTC,Machame COTC, Tandabuli COTC, St. Agrey health institute, KAM college of health, na vyuo vingine ila Ada yake ni zaidi ya 2millions per year.... But wizara kwa kushirikiana na Mkapa foundation hua wanatoa udhamini kwa wanafunzi 1400+
 
Physics D,Chemistry B,Biology D na yaliyobaki ni B&C

Niliwahi kuomba mwaka 2011, kwa matokeo ya O'level na A'Level ila walinitema,,O'L nilikua na B flat kwa masomo yote,, A'level Phy=S, C=D, Bios=E.. Nikaenda St. Aggrey nikapga mwaka 1. Ulofata wakapandisha fee kutoka 1.6mill hadi 2.5mill na michango mingine inagonga 3.2mill, sponsor wangu akishndwa kumudu hvyo late 2012 nikapga diploma ya ualimu... Soo Jipangee
 
Asante kwa maelezo yenu,ingawa kumbe humu kuna watu ambao hawatakii mema wenzao
 
Niliwahi kuomba mwaka 2011, kwa matokeo ya O'level na A'Level ila walinitema,,O'L nilikua na B flat kwa masomo yote,, A'level Phy=S, C=D, Bios=E.. Nikaenda St. Aggrey nikapga mwaka 1. Ulofata wakapandisha fee kutoka 1.6mill hadi 2.5mill na michango mingine inagonga 3.2mill, sponsor wangu akishndwa kumudu hvyo late 2012 nikapga diploma ya ualimu... Soo Jipangee

Hahahahaaha ulisandaaaa babaaa hahahahaha mwananguu nacte sjuii huwaa wanadahilii vipiii aseeee
 
Kakaaa hayoo aliyoyatajaaa hapoo kwamimiii nilivyoona ni form four hatakabla ya yeye kusema babaa kutokana na alivyosema kwamba hayomengine ni B&C hahaha mbona umepaniki kaka jamaa hayoo nimatokeo yakee ya form four kama si BRN hakuna mengine ni B&C babuu ndomaana nkamwambia vile baba mbona unapanic vituu ambavyo ujavitafsiri kwanza jamaa ni form four huyoo

Nimemuelewa jombaa, nilijua ni ya A' level.Nilitaka kushangaa make 2008 ingekua pass za A' level ingekua ni pass nzur.Samahani jombaa.
 
Nimemuelewa jombaa, nilijua ni ya A' level.Nilitaka kushangaa make 2008 ingekua pass za A' level ingekua ni pass nzur.Samahani jombaa.

Hahahahaha kwelii babaa hata minilijuaa sisi sioo BRN bhanaa kama ingejuwa results za 6 ningemsapotii sema napo angeshindwaa competition maana skuizi mbaka watuu wenye 1 zaoo madogo wanakosaa hahaha sio mbayaa babaa nimekuelewaa
 
Pamoja mkuu!
 
nauluza vigezo vya kujiunga na ualimu ngazi ya cheti 2015

PUBLIC NOTICE
OPENING OF THE CENTRAL
ADMISSION SYSTEM (CAS) FOR
NEW APPLICANTS INTO ORDINARY
AND HIGHER DIPLOMA IN
EDUCATION PROGRAMMES

The Ministry of Education and
Vocational Training in collaboration
with the National Council for
Technical Education (NACTE) would
like to inform the public that Central
Admission System (CAS) is now
open for new applicants into
Teacher Training Institutions for
academic year 2015/2016.

Minimum Entry Requirements:
1. Ordinary Diploma (Pre Service):
Division I – III OR GPA of 1.6 in
O’Level

2. Ordinary Diploma (In Service):
Grade IIIA Certificate

1. Higher Diploma: Two (2)
principle passes in A’Level or
Ordinary Diploma (NTA 6).

For science programs: 2 passes in
science subjects (Physics,
Chemistry, and Biology) in O’Level
for Ordinary Diploma OR 2 principle
passes in science and/or
mathematics (Physics, Chemistry,
Biology and Mathematics) in A’Level
for Higher Diploma

NOTE:

All applications should be done
online by clicking here and the
deadline for applications will be on
18 July, 2015.

For applicants who apply before 5th
April 2015 , if selected they can
begin their semester on 15 April
2015 .

2. Application form for Education
Programmes can be obtained here,
Download and submit filled form to:

Executive Secretary
NATIONAL COUNCIL FOR TECHNICAL
EDUCATION
 
Wee utapataa shidaa sanaa kwa vyuo vya government na sio co maana huwezii pataa clinical medicine wakatii hunavigezo vya diploma kabisaa labdaa certificate private allied health institutes
sorry anaye jua vyuo vya afya vya private vilivyopo mbeya naomba anitajie
 
Back
Top Bottom