Elections 2010 Kwa mashabiki wa CCM, malaria Sugu na wanaofanana na hao

QUALITY

JF-Expert Member
Sep 27, 2010
853
115
Ndugu zangu ambao hamjawa converted kumpigia kura dr. Slaa (yaani bado mnadhani mtampa kura zenu Kikwete) jiulizeni maswali haya kumi.
  1. Una maisha bora?
  2. Wezi wa EPA wamepatikana?
  3. Amekutajia wale waliorudisha fedha za EPA?
  4. Amewachukulia hatua gani baada ya kurudisha?
  5. We mfanyakazi, amekwambia wazi wazi kuwa anahitaji kura yako?
  6. Unajua hatima ya Kigamboni, Mbagala na wengine waliohamishwa bila kulipwa fidia?
  7. Kati ya ajira milioni mbili,umebahatika moja?
  8. Wazee wa Afrika masharikiwamelipwa?
  9. Unajua lilipo kaburi la Mtanzania mwenzetu DAUDI BALALI?
  10. Kwanini Anaogopa midahalo mpaka anamtuma Kinana badala yake?
:sad:
 
JK hana kura; hatudanganyiki; Zanzibar pia ni Seif; Mkapa katoa vitisho tena wakati alisababisha umwagaji damu 2001; hata hajasahau, nawasiliana na wanasheria niwenze kufungua mashitaka dhidi ya JK maana amenitumia message ambayo naona ni kuingilia uhuru wangu wa faragha; nipeni vifungu nifanye hivyo
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom