Kwa mara ya kwanza ninakwenda kuipigia kura CCM 2020

Hapo ndipo chadema mlipotea na hamtarudi kwenye mstari tena! Kuamini kwamba lowassa kwa kuwa ametoka ccm atachukua nchi kwa urahisi! Mkasahau itikadi yenu na kuitupa na sasa hatuwaamini tena. Subirini maporomoko wa kutisha 2019 serikali za mitaa na 2020 uchaguzi mkuu. Nani atawaamini vigeugeu. Mara leo hii ni nyeusi na haisafishiki kabisa. Tena mna ushahidi wa kutosafishika! Tena ni heshima kwa mungu kuitupa hiyo nyeusi. Mara, hapana! Ni nyeupe haina doa! Macho yetu hayakuona vizuri tulikosea jamani! Ubababishaji gani huu! Ccm oyeee! Hapa kazi tu!! Bla bla huko huko ufipa!!

Naona unanimilikisha chama. Mi nimetoa mchanganuo na sio ushabiki wa vyama.Anyway sioni haja ya ku apologize kwa kutokueleweka vyema.
Hoja kuhusu itikadi:-
Dk slaa aliwahi kunukuliwa akisema kazi ya chama cha siasa ni kuchukua dola. Cdm haiko pale kua mpinzani milele. Na mkakati wa kumchukua el, ulilenga kuidhohofisha ccm wakati wa uchaguzi. Ili wachukue dola. Sidhani kama kuna itikadi bora zaidi ya hiyo ya kuchukua dola. Ccm wamekua wakishinda uchaguzi pasi kua na itikadi ya maana miaka yote. Hii inamana wanajua kua swala sio itikadi bali ni kumiliki dola. Na mbinu yao imefanya kazi miaka yote.

Swala la upinzani kufa litaathiri watanzania wengi na nchi. Manake ccm unayoijua inakwenda kutawala kila mahali. May be hii itakua furaha yako kwa muda, lakini kumbuka maendeleo ya taifa lolote duniani.. Ni pamoja na kuwepo kwa strong and effective opposition political party.

Naamini bado hujajua kwanni dunia inataka siasa za ushindani. Unadhani swala ni cdm ama ccm swala ni maendelo na ustawi... Kama ccm wataingiza wengi bungeni jua kua hoja zote zitapita bila kupingwa bungeni. Na wewe kama mtazania usiye tabaka tawala uko katika hatari ya kutonufaika na keki ya taifa ikiwa hoja hizo hazina maslahi mapana ya kitaifa.
 
Hali ya maofisini wakati umezungumza na mfanyakaz mmoja tu halafu unaconclude kwa kuonyesha ni ofisi zote
Mbona mmefuta maneno yangu? au cku hz jf we don't dare to talk openly?
 
NAONA UNANIMILIKISHA CHAMA. MI NIMETOA MCHANGANUO NA SIO USHABIKI WA VYAMA.ANYWAY SIONI HAJA YA KU APOLOGIZE KWA KUTOKUELEWEKA VYEMA.
HOJA KUHUSU ITIKADI:-
DK SLAA ALIWAHI KUNUKULIWA AKISEMA KAZI YA CHAMA CHA SIASA NI KUCHUKUA DOLA. CDM HAIKO PALE KUA MPINZANI MILELE. NA MKAKATI WA KUMCHUKUA EL, ULILENGA KUIDHOHOFISHA CCM WAKATI WA UCHAGUZI. ILI WACHUKUE DOLA. SIDHANI KAMA KUNA ITIKADI BORA ZAIDI YA HIYO YA KUCHUKUA DOLA. CCM WAMEKUA WAKISHINDA UCHAGUZI PASI KUA NA ITIKADI YA MAANA MIAKA YOTE. HII INAMANA WANAJUA KUA SWALA SIO ITIKADI BALI NI KUMILIKI DOLA. NA MBINU YAO IMEFANYA KAZI MIAKA YOTE.

SWALA LA UPINZANI KUFA LITAATHIRI WATANZANIA WENGI NA NCHI. MANAKE CCM UNAYOIJUA INAKWENDA KUTAWALA KILA MAHALI. MAY BE HII ITAKUA FURAHA YAKO KWA MUDA, LAKINI KUMBUKA MAENDELEO YA TAIFA LOLOTE DUNIANI.. NI PAMOJA NA KUWEPO KWA STRONG AND EFFECTIVE OPPOSITION POLITICAL PARTY.

NAAMINI BADO HUJAJUA KWANNI DUNIA INATAKA SIASA ZA USHINDANI. UNADHANI SWALA NI CDM AMA CCM SWALA NI MAENDELO NA USTAWI... KAMA CCM WATAINGIZA WENGI BUNGENI JUA KUA HOJA ZOTE ZITAPITA BILA KUPINGWA BUNGENI. NA WEWE KAMA MTAZANIA USIYE TABAKA TAWALA UKO KATIKA HATARI YA KUTONUFAIKA NA KEKI YA TAIFA IKIWA HOJA HIZO HAZINA MASLAHI MAPANA YA KITAIFA.
VEMA SANA KAKA! NAKUPIGIA MAKOFI MIA! CDM WALISHAKIJENGA CHAMA KWA KAZI HIYO UNAYOSEMA! KWA KUTOJIAMINI WAKAKIBOMOA KWA PAPARA ZAO BAADA YA KUMEZA NDOANO YA CCM! WASINGEMCHUKUA LOWASSA KUWA MGOMBEA. MANUFAA WALIYOPATA YATAGHARIMU MUELEKEO WAO KWA KUWA SASA WANAONEKANA WABABAISHAJI KWA KAULI NA VITENDO VYAO. HAWANA ITIKADI YA KUITETEA KWA SASA WAKATI WALIKUWA NAYO HUKO NYUMA. KUCHUKUA DOLA SIYO ITIKADI KAKA!
 
Umemweleza vizuri.Unapozungumza habari ya ushindani lazima ujipange kwani jua wazi ushindani ukikuzidi nguvu lazima utapotea.Faida yakushindana inafahamika hta kwenye biashara upinzani huleta unafuu kwa mlaji ila kwa wanaoshindana mmoja akijichanganya anaweza akafilisika.Mchezo walioufanya CDM kumpokea Lowasa lazima utawagharimu kwani sasa wanaonekana wasanii
 
Hii ni kauli ya mfanyakazi mmoja wa ngazi za juu anayefanya kazi taasisi ya bodi ya ugavi hapa nchini(PSPTB).

Leo nimetembelea bodi ya ugavi kwa mambo yangu binafsi na nikiwa hapo nilifanikiwa kubadilishana mawazo na baadhi ya wafanyakazi ila nilichokigundua kinachozungumzwa maofini juu ya magufuli kwa wafanyakazi wa serikali ni tofauti kabisa na mijadala ilivyo humu mitandaoni.

"Kwa mara ya kwanza ninakwenda kuipigia kura CCM 2020"Hii ilikua ni kauli ya afisa huyo ambaye alisema tangu ameanza kupiga kura hajawahi kuipigia kura CCM kutokana na mambo yake ya hovyo ila kwa sasa Magufuli amekua kivutio kikubwa.

Aliongeza kwakusema,"Siwezi kumchagua raisi tofauti na Maguli kwani kura yangu siwezi kui risk kumpigia kura raisi tofauti nisiyefahamu atakuaje baada ya kua raisi".

Mwisho afisa huyu alisema na hapa namnukuu,"Tutarajie 2020 Maguli kushinda kwa zaidi 80% kwani kwa sasa huyu ndiye pekee aliyeonesha dira kuivusha nchi".

Hii ndio hali ya maofisini na kuhusu vijijini mapenzi kwa Magufuli ni zaidi ya hali ilivyo mijini wananchi huwaelezi chochote kuhusu Maguli.

Nimeona niliseme hili ili huyu inaeitwa Lowasa na wafuasi wake wajipange vizuri uchaguzi ujao ama waahirishe ili pesa za kampeni ziweze kujenga hata makao makuu ya chama.
acha kampein rais amekataza siasa mbn hamuelew
 
Mi sijui hii mechi ntashabikia wapi
Nikiangalia chadema ni team maarufu na ina mashiko lakini kocha aliyekuja kuifundisha timu aseee nachoka kabisaaaaaa nisiwe mnafiki chadema ninaipenda na timu yangu zamani ila kwa kumchukua lowasaaa aseee imani sina kabisaaaaa

CCM ni timu ya kipumbavu mno inahistoria chafu nadini ya kichwa changu na haijawahi nifanyia vizuri aseee, toka niwepo niliichukia ccm na naamini hata ingekuaje lazima niichukie
Lakini kwa huyu kocha aliyeletwa aseee na mazoezi anavoyapeleka, hupendwa ba kila mchezaji aliyependa kuchukua hiki kikombe kiitwacho TANZANIA aseee nisiwe mnafiki MAGUFULI sina jipya kabisaaaa, natamani angalau nimpe msimu mlefu
Lakini anachukiwa na safu na benchi zima la ufundi,
Navutika kwenda huko nikikumbuka yuko clabu gani daaa naona ni mapema mnoo

Sasa ushauri kwenye hii mechi nishabijie wapii
 
  • Thanks
Reactions: nao
NAONA UNANIMILIKISHA CHAMA. MI NIMETOA MCHANGANUO NA SIO USHABIKI WA VYAMA.ANYWAY SIONI HAJA YA KU APOLOGIZE KWA KUTOKUELEWEKA VYEMA.
HOJA KUHUSU ITIKADI:-
DK SLAA ALIWAHI KUNUKULIWA AKISEMA KAZI YA CHAMA CHA SIASA NI KUCHUKUA DOLA. CDM HAIKO PALE KUA MPINZANI MILELE. NA MKAKATI WA KUMCHUKUA EL, ULILENGA KUIDHOHOFISHA CCM WAKATI WA UCHAGUZI. ILI WACHUKUE DOLA. SIDHANI KAMA KUNA ITIKADI BORA ZAIDI YA HIYO YA KUCHUKUA DOLA. CCM WAMEKUA WAKISHINDA UCHAGUZI PASI KUA NA ITIKADI YA MAANA MIAKA YOTE. HII INAMANA WANAJUA KUA SWALA SIO ITIKADI BALI NI KUMILIKI DOLA. NA MBINU YAO IMEFANYA KAZI MIAKA YOTE.

SWALA LA UPINZANI KUFA LITAATHIRI WATANZANIA WENGI NA NCHI. MANAKE CCM UNAYOIJUA INAKWENDA KUTAWALA KILA MAHALI. MAY BE HII ITAKUA FURAHA YAKO KWA MUDA, LAKINI KUMBUKA MAENDELEO YA TAIFA LOLOTE DUNIANI.. NI PAMOJA NA KUWEPO KWA STRONG AND EFFECTIVE OPPOSITION POLITICAL PARTY.

NAAMINI BADO HUJAJUA KWANNI DUNIA INATAKA SIASA ZA USHINDANI. UNADHANI SWALA NI CDM AMA CCM SWALA NI MAENDELO NA USTAWI... KAMA CCM WATAINGIZA WENGI BUNGENI JUA KUA HOJA ZOTE ZITAPITA BILA KUPINGWA BUNGENI. NA WEWE KAMA MTAZANIA USIYE TABAKA TAWALA UKO KATIKA HATARI YA KUTONUFAIKA NA KEKI YA TAIFA IKIWA HOJA HIZO HAZINA MASLAHI MAPANA YA KITAIFA.

We jamaaa naona una mawazo ya mbali na sauti yako hupenya kwa kila siko la muelewa, ulipofikia kuelewesha kama hukueleweka baasi aseee

Naswala ya kufia chama oo mi ccm oo mi chadema ni upuuzi na ufinyu wa mawazo, na wengi hizi ni dalili za mawazo mgando

Hongera sana kwa uelewa aseee

Mara mbili ya hivi humu kutakuja kuwe na mijadara yenye tija za taifa na si yenye tija za vyama vyetu
 
Huo ndo ukweli harisi harisi mkuu, wananchi wapiga kura wako mitaani hawa wa jf ni wakaanga sumu tu.
 
Wana CCM sasa wanatembea kifua Mbele kwny Mapambano dhidi ya Ufisadi wakati Mafisadi wamekuja na hoja ya kupambana na Udikteta badala ya Ufisadi.

Chadema leo imetangaza hadharani kukerwa na kufutwa safari za nje kwa watumishi wa Umma lakini kwny Hoja zao zote nimesoma moja baada ya nyingine sijaona kuhusu Kupinga Ufisadi
 
Umemweleza vizuri.Unapozungumza habari ya ushindani lazima ujipange kwani jua wazi ushindani ukikuzidi nguvu lazima utapotea.Faida yakushindana inafahamika hta kwenye biashara upinzani huleta unafuu kwa mlaji ila kwa wanaoshindana mmoja akijichanganya anaweza akafilisika.Mchezo walioufanya CDM kumpokea Lowasa lazima utawagharimu kwani sasa wanaonekana wasanii
Daah wakati mwingine jamii forum hunipa raha kwa kukutana na watu wenye nis njema na taifa hili
Tatizo sio u ccm au u chadema tatizo tunataka ushindani wenye tija
Nachomanisha ni kwamba CHADEMA wakati ule waliamua kupita shortcut ili kukamilisha safari badala ya kuwafikusha ile shortcut iliwarudisha walikotoka
Sasa ni wakati wajipange huu sio muda wa kuponga na kutoa matamko yasiyo na tija, ni muda wa kutafuta mbinu mubadala wa kujisahihisha pale walipokosea ili kuziteka fikra tena za wanainchi

Na wasipokaaa makini ushindani ujao utakua mkubwa saba kwao kama watashindwa kulitafutia ufumbuzi hili swala
Tatizo wanashindwa kuamini kua ni kweli walikosea na kila anaejaribu japo kuwashauri na kuwakosoa huonekani ni mwana ccm
 
Dogo usidanganyike. Hakuna Kiongozi mwenye mipango wala nia ya dhati ya kwenda Ikulu! Mtasubiri sana. Watabaki kuwadanganya kwamba wameibiwa kura!! Zindukeni vijana!
Pole sana. Ukiishachoka na jitihada zako, kapokee bk 2 upumzike.
 
Hii ni kauli ya mfanyakazi mmoja wa ngazi za juu anayefanya kazi taasisi ya bodi ya ugavi hapa nchini(PSPTB).

Leo nimetembelea bodi ya ugavi kwa mambo yangu binafsi na nikiwa hapo nilifanikiwa kubadilishana mawazo na baadhi ya wafanyakazi ila nilichokigundua kinachozungumzwa maofini juu ya magufuli kwa wafanyakazi wa serikali ni tofauti kabisa na mijadala ilivyo humu mitandaoni.

"Kwa mara ya kwanza ninakwenda kuipigia kura CCM 2020"Hii ilikua ni kauli ya afisa huyo ambaye alisema tangu ameanza kupiga kura hajawahi kuipigia kura CCM kutokana na mambo yake ya hovyo ila kwa sasa Magufuli amekua kivutio kikubwa.

Aliongeza kwakusema,"Siwezi kumchagua raisi tofauti na Maguli kwani kura yangu siwezi kui risk kumpigia kura raisi tofauti nisiyefahamu atakuaje baada ya kua raisi".

Mwisho afisa huyu alisema na hapa namnukuu,"Tutarajie 2020 Maguli kushinda kwa zaidi 80% kwani kwa sasa huyu ndiye pekee aliyeonesha dira kuivusha nchi".

Hii ndio hali ya maofisini na kuhusu vijijini mapenzi kwa Magufuli ni zaidi ya hali ilivyo mijini wananchi huwaelezi chochote kuhusu Maguli.

Nimeona niliseme hili ili huyu inaeitwa Lowasa na wafuasi wake wajipange vizuri uchaguzi ujao ama waahirishe ili pesa za kampeni ziweze kujenga hata makao makuu ya chama.
Inaonekana siku zako za kuishi unazo wewe mwenyewe. Hongera sana. Siku zako za kuishi zimehesabiwa na Mungu mwenyewe na wala hakuna mwenye uwezo wa kuizuia siku yako ya kufa. Ningekuelewa kama ungesema kama Mungu atakupa kuishi hadi 2020 utaipigia kura CCM. Pole we!
 
Hii ni kauli ya mfanyakazi mmoja wa ngazi za juu anayefanya kazi taasisi ya bodi ya ugavi hapa nchini(PSPTB).

Leo nimetembelea bodi ya ugavi kwa mambo yangu binafsi na nikiwa hapo nilifanikiwa kubadilishana mawazo na baadhi ya wafanyakazi ila nilichokigundua kinachozungumzwa maofini juu ya magufuli kwa wafanyakazi wa serikali ni tofauti kabisa na mijadala ilivyo humu mitandaoni.

"Kwa mara ya kwanza ninakwenda kuipigia kura CCM 2020"Hii ilikua ni kauli ya afisa huyo ambaye alisema tangu ameanza kupiga kura hajawahi kuipigia kura CCM kutokana na mambo yake ya hovyo ila kwa sasa Magufuli amekua kivutio kikubwa.

Aliongeza kwakusema,"Siwezi kumchagua raisi tofauti na Maguli kwani kura yangu siwezi kui risk kumpigia kura raisi tofauti nisiyefahamu atakuaje baada ya kua raisi".

Mwisho afisa huyu alisema na hapa namnukuu,"Tutarajie 2020 Maguli kushinda kwa zaidi 80% kwani kwa sasa huyu ndiye pekee aliyeonesha dira kuivusha nchi".

Hii ndio hali ya maofisini na kuhusu vijijini mapenzi kwa Magufuli ni zaidi ya hali ilivyo mijini wananchi huwaelezi chochote kuhusu Maguli.

Nimeona niliseme hili ili huyu inaeitwa Lowasa na wafuasi wake wajipange vizuri uchaguzi ujao ama waahirishe ili pesa za kampeni ziweze kujenga hata makao makuu ya chama.
Sasa Kama Rais Magufuli amejenga imani kwa wananchi, mbona anaogopa mikutano ya vyama vya upinzani? Mbona amekataza hata Bunge lisionyeshwe live, mbona anaogopa vyombo vya habari? Awaache wapinzani wawe huru kufanya kazi aone kama hataomba poo mwaka huu
 
Back
Top Bottom