Kwa mara ya kwanza nakiri kuipenda CCM kwa dhati

Nimefuatilia kwa makini sana sakata la mawaziri kujiuzulu bungeni na kukungundua kuwa kumbe serikali ya CCM kiboko sana! Na hili likathibitishwa na msomi ninaye mkubali Dr. Bana ambae huwa akiwapiga CCM tunamsifia akitupiga CDM tuna kuja juu na kumwona kibaraka! Alisema serikali haiwezi endeshwa kwa kushinikizwa!! Kesho nimesikia Kamati Kuu inakaa na huenda kwa nafasi yao watajadili hili la Dodoma lakini bila shinikizo. Hiyo ndo serikali bwana.

Tunakupongeza na penzi lako la dhayi kwa magamba, wala sikushangai kwani hata majambazi, wauwaji huwa wana wapenzi maishani mwao! Hata Hosama alikuwa na Mpenzi!
 
kama mkuu wao wa kaya kaitisha kikao basi upepo umemzidia umekuwa kimbunga alisema ni upepo utapita kwahiyo shinikizo la upepo limesaidia, ha ha Haaaah! mjenga hoja umepinda kama chama kilivyo, unatuthitishia kuwa hakuna mwanajamii ccm anayejua kufikiri anzia mwenyekiti hadi kibaka kama wewe kweli nchi yetu tumeikabidhi kwa mafisi
 
Nimefuatilia kwa makini sana sakata la mawaziri kujiuzulu bungeni na kukungundua kuwa kumbe serikali ya CCM kiboko sana! Na hili likathibitishwa na msomi ninaye mkubali Dr. Bana ambae huwa akiwapiga CCM tunamsifia akitupiga CDM tuna kuja juu na kumwona kibaraka! Alisema serikali haiwezi endeshwa kwa kushinikizwa!! Kesho nimesikia Kamati Kuu inakaa na huenda kwa nafasi yao watajadili hili la Dodoma lakini bila shinikizo. Hiyo ndo serikali bwana.

Sawa baba kwa hili nnaikumbuka methali ya wahenga walisema"Waarabu wa pwani wanajuana kwa vilemba vyao"kaza mwendo baba endelea kuipenda ccm
 
Pambafu, hivi huna kazi ya kufanya hadi unatuandikia huu utumbo wako hapa, kama una mapenzi na magamba si uwape tu.
 
Jamani sie wote humu ndani tulioenda shule tumesomeshwa tukiwa chini ya utawala wa ccm. Wengi wenu msingekua hapo mlipo kama isingekua hiki chama...sawa sasa hivi kimepoteza mwelekeo but they do deserve a bit of respect:rolleyez::-*
 
Hakuna lolote, wanaenda kupeana semina elekezi na kunywa chai ikulu, HALAFU SIIPENDI CCM, NA KWA TAARIFA HIKI KIMBUNGA KINAWAMALIZA NA HAWATAPONA, huku mitaani hawaongei.
 
Haa haa yaani raha sana chama cha magamba kimeteka akili za watanzania! Yaani serikali haifanyi kazi kwa shinikizo wakati huo twiga, tembo na faru wanapanda ndege wanakwenda ulaya! Chama hili limelaaniwa na mungu!


Li chama halijalaaniwa na Mungu bado Mungu anawachora tu!
hizi laaana wamepigwa na watz wameporwa ardhi yao na wawekaji batili wamigod huko kanda ya ziwa!,wananchi wanaoishi kwa mlo mmoja kwa kuhadiwa bora maisha kwa kila mtz na mabilion ya jk, na laana hazikuishia hapo waliofunga kazi ni wazee EAC wasitaafu wamelaan barabaran kweupee!!!!

nyoooooooo!



kanda ya
 
Chiume

Join Date : 8th April 2012
Posts : 28
Rep Power : 308
Likes Received5
Likes Given1
 
Muulize Pindar yupo katika haligani saa hii, toka alipopewajambajamba ya kunyang'anywa Mkate! Na kumbuka halijaisha!I
mwaka huu hakunakulala magambatutawakimbiza kama paka jizi natutaendelea kuwafunua kwa wananch
 
Kuna kabila moja hapa Tanzania ambalo neno Chiume ina maanisha Kipofu, kama na kwa kabila lake ndiyo maana basi jina lake limemsadifu kabisa. Wewe mwenyewe unamesema kuwa kamati kuu inakaa kwa ajili ya kufanya maamuzi sawa ila napenda nikuulize unadhani shinikizo ni lile unapofanya maamuzi papo kwa papo, HAPANA! Hebu waulize CCM siku ya leo walikuwa na ratiba ya Kikao cha Kamati kuu au la?

Tusiwe Chuakachala kama Dr. Benson Bana anafanya analysis zenye kuangalia upepo. Huwa ninashangaa kusikia anaitwa mtaalam wa mambo ya siasa na utawala. Hana kitu huyu na anaaibisha kabisa. Nilisikia kuwa Kuanzia first degree yake alikuwa anabebwa bebwa na Mkandala nataka kuamini hili maana arguments zake huwa hazionyeshi kuwa ni msomi wa Kiwango cha Phd, angalia mijadala ya watu kama Dr. Rwaitama, mtu anatoa hoja kwa vigezo haongei huku akiangalia angalia upenuni kuna nani anayenisikiliza. He gives subjective arguments. Chiume kwa kuwa ni kipofu umekumbwa na mkumbo wa kutokuwa na akili zinazojitegemea. Pole utegemezi utakuponza.
 
Hvi wewe mleta uzi pamoja na magamba wwenzako hapa si kuna mwenzenu juzi anaitwa zainabu kawawa kamwaga chozi kwenye kikao akililia chama hajui kinakokwenda kwa mambo ya kijinga na kipuuzi yanayofanyika ikiwamo hili la mawaziri kujiuzulu? Au yule ni gwanda ? Mkono,filikunjombe na wengineo ni cdm? Mtaacha unafiki lini? Unafiki wenu kama alivyo mkulu wenu ndio utakaowamaliza.
 
Back
Top Bottom