Kwa mara ya kwanza nakiri kuipenda CCM kwa dhati

Chiume

Member
Apr 8, 2012
48
18
Nimefuatilia kwa makini sana sakata la mawaziri kujiuzulu bungeni na kukungundua kuwa kumbe serikali ya CCM kiboko sana! Na hili likathibitishwa na msomi ninaye mkubali Dr. Bana ambae huwa akiwapiga CCM tunamsifia akitupiga CDM tuna kuja juu na kumwona kibaraka! Alisema serikali haiwezi endeshwa kwa kushinikizwa!! Kesho nimesikia Kamati Kuu inakaa na huenda kwa nafasi yao watajadili hili la Dodoma lakini bila shinikizo. Hiyo ndo serikali bwana.
 
Magwanda huwa wanafikiri watu wanajiuzulu kwa majungu.

Angeanza kujiuzulu Zitto aliyehongwa na Barrick jimboni kwake.
 
sio kila mtz ni muathirika wa wizi wa serikali,wengine mnanufaika hatushangai hoja kama hizi
 
Umeahidiwa dola laki ngapi CRDB Bank? kwasababu penzi lako sio la bure tu, ni kwa kila Mwana CCM hakuna penzi la bure

Penzi la bure lilikufa na Mwl. JK Nyerere
 
Kweli ni akili za mfu kuipenda ccm labda uwe hujajitambua na kujielewa kuwa umetoka wapi na unaenda wapi.
 
Nimefuatilia kwa makini sana sakata la mawaziri kujiuzulu bungeni na kukungundua kuwa kumbe serikali ya CCM kiboko sana! Na hili likathibitishwa na msomi ninaye mkubali Dr. Bana ambae huwa akiwapiga CCM tunamsifia akitupiga CDM tuna kuja juu na kumwona kibaraka! Alisema serikali haiwezi endeshwa kwa kushinikizwa!! Kesho nimesikia Kamati Kuu inakaa na huenda kwa nafasi yao watajadili hili la Dodoma lakini bila shinikizo. Hiyo ndo serikali bwana.

....Dah! Magamba mnastaajabisha sana!!!! Nchi inabakwa usiku na mchana na mafisadi na wageni hamtaki kabisa kuliona hilo. Mabilioni ya pesa za walipa kodi yanakwapuliwa usiku na mchana, rasilimali mbali mbali nchini ikiwemo madini, misitu, wanyama zinakwapuliwa usiku na mchana. Kikwete wakati wa kampeni za 2005 akadai kwamba Maisha bora kwa kila Mtanzania yanawezekana lakini kauli hiyi sasa hivi imekuwa kama haijui vile au si yeye aliyeitoa kauli hiyo. Pia katika kampeni za 2005 alidai kwamba anaingia Ikulu kwa ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya Watanzania wakafurahia na wengine kumuita eti chaguo la Mungu!!! Kumbe ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya ilikuwa ni ya kuididimiza nchi!!!!! Hivi Magamba kwa nini hamumuhoji Mwenyekiti wenu wa magamba ahadi zake za 2005 kama vile kuipitia upya mikataba iliyopitishwa na Mkapa ili kuchimba dhahabu nchini na kuiachia nchi 3% na wageni kuchukua 97%, ari mpya, nguvu na kasi mpya, na maisha bora kwa kila Mtanzania yanawezekana zimeishia wapi!? Ni kipi kinachomkwamisha/kilichomkwamisha hadi ashindwe kutimiza ahadi hizo kwa miaka saba sasa tangu aingie madarakani? Kulikoni magamba mnashindwa kumuhoji Msanii wenu? Au mnataka chama chenu cha magamba ambacho kiko hoi bina tabaani katika kila kona ya nchi yetu kifie mikononi mwa msanii!? au ndio kama kawaida ua usanii wenu hamuoni chama chenu cha Magamba kipo juu ya mawe?

Binti Kawawa katoa machozi kwa kuona chama chenu kinaenda alijojo inabidi na wengine mfuate mfano wa huyu Binti badala ya kuja na kauli ambazo hazina mshiko kabisa eti Serikali ya CCM ni kiboko sana!!!! eti naipenda CCM kwa dhati!!! msitoe kauli tu bila kutafakari huku chama kinaenda alijojo acheni tabia zenu za kukurupuka!!! Serikali fisadi ya magamba inaifilisi nchi yetu fumbueni macho mlione hilo

Kama utaki kufika uendako jiunge na CCM. Maana imekuwa ya watu waliobweteka na wasiotaka maendeleo.
 
Haa haa yaani raha sana chama cha magamba kimeteka akili za watanzania! Yaani serikali haifanyi kazi kwa shinikizo wakati huo twiga, tembo na faru wanapanda ndege wanakwenda ulaya! Chama hili limelaaniwa na mungu!
 
Nimefuatilia kwa makini sana sakata la mawaziri kujiuzulu bungeni na kukungundua kuwa kumbe serikali ya CCM kiboko sana! Na hili likathibitishwa na msomi ninaye mkubali Dr. Bana ambae huwa akiwapiga CCM tunamsifia akitupiga CDM tuna kuja juu na kumwona kibaraka! Alisema serikali haiwezi endeshwa kwa kushinikizwa!! Kesho nimesikia Kamati Kuu inakaa na huenda kwa nafasi yao watajadili hili la Dodoma lakini bila shinikizo. Hiyo ndo serikali bwana.
Utakuwa na jini mahaba
 
Shetani na ubaya wake wote anao wafuasi tena wengi tu, itakuwa CCM!!!! Hongera ndugu kwa kuwa moja wa wafuasi watiifu kwa shetani.
 
nimefuatilia kwa makini sana sakata la mawaziri kujiuzulu bungeni na kukungundua kuwa kumbe serikali ya ccm kiboko sana! Na hili likathibitishwa na msomi ninaye mkubali dr. Bana ambae huwa akiwapiga ccm tunamsifia akitupiga cdm tuna kuja juu na kumwona kibaraka! Alisema serikali haiwezi endeshwa kwa kushinikizwa!! Kesho nimesikia kamati kuu inakaa na huenda kwa nafasi yao watajadili hili la dodoma lakini bila shinikizo. Hiyo ndo serikali bwana.

"to every action there is always equal and opposite reaction" kasome upya kijana bado uwezo wako wa kufikiri ni mdogo. Kwa akili yako unadhani kama ccm watajadili, hiyo agenda itakuwa imetoka hewani kama siyo shinikizo?
 
Nimefuatilia kwa makini sana sakata la mawaziri kujiuzulu bungeni na kukungundua kuwa kumbe serikali ya CCM kiboko sana! Na hili likathibitishwa na msomi ninaye mkubali Dr. Bana ambae huwa akiwapiga CCM tunamsifia akitupiga CDM tuna kuja juu na kumwona kibaraka! Alisema serikali haiwezi endeshwa kwa kushinikizwa!! Kesho nimesikia Kamati Kuu inakaa na huenda kwa nafasi yao watajadili hili la Dodoma lakini bila shinikizo. Hiyo ndo serikali bwana.

Kama umakini wako unatokana na wewe kuthibitishiwa na bana basi you were born an idiot, maana huwezi kufikiri kwa akili yako mwenyewe. Siku ikitokea bana wako huyo huyo akakuambia baba yako ni punda utakubali pia.
 
Kupiga nyagi asubuhi ndo madhara yake haya.Wenzako wanapiga usiku unaona sasa.Sitakushangaa ukisema mavi matamu.
 
Nimefuatilia kwa makini sana sakata la mawaziri kujiuzulu bungeni na kukungundua kuwa kumbe serikali ya CCM kiboko sana! Na hili likathibitishwa na msomi ninaye mkubali Dr. Bana ambae huwa akiwapiga CCM tunamsifia akitupiga CDM tuna kuja juu na kumwona kibaraka! Alisema serikali haiwezi endeshwa kwa kushinikizwa!! Kesho nimesikia Kamati Kuu inakaa na huenda kwa nafasi yao watajadili hili la Dodoma lakini bila shinikizo. Hiyo ndo serikali bwana.

Ezan is trying to move this thread to the Recycle bin please remove some contents!!!!!!!!!!
 
Nimefuatilia kwa makini sana sakata la mawaziri kujiuzulu bungeni na kukungundua kuwa kumbe serikali ya CCM kiboko sana! Na hili likathibitishwa na msomi ninaye mkubali Dr. Bana ambae huwa akiwapiga CCM tunamsifia akitupiga CDM tuna kuja juu na kumwona kibaraka! Alisema serikali haiwezi endeshwa kwa kushinikizwa!! Kesho nimesikia Kamati Kuu inakaa na huenda kwa nafasi yao watajadili hili la Dodoma lakini bila shinikizo. Hiyo ndo serikali bwana.

Uwape na masaburi yako
 
CCM ingekaa kimya bila kufanya mkutano wowote wa kujadili mambo yaliyotokea Dodoma ndiyo ningeamini hawaongozwi na shinikizo la mtu. Wanachofanya sasa hivi ni kutapatapa kama mfa maji, tusubiri tuone watakachokifanya kwenye mkutano wao. Sikushangai kuipenda CCM, inaweza ikawa sio akili zako unaongozwa na pepo mchafu uliotupiwa ili uipende CCM. Nitapiga sala kwa ajili ya kumtoa huyo pepo kwa Jina la Yesu Kristo wa Nazareti aliye hai, atoke ili uwe huru na akili zako zifanye kazi kama inavyotakiwa.
 
Back
Top Bottom