Kwa mapishi najiamini

cheusimangala

JF-Expert Member
Feb 27, 2010
2,585
497
keki 2.jpg keki 2.jpg keki 2.jpg keki 2.jpg

Bado najifunza kupika keki hasa upambaji.
Hii ni keki yangu ya kwanza kabisa niliyopika na kuipamba mwenyewe.
Sasa hivi najua kupika flavour mbalimbali na kupamba zaidi ya hapa.
Sina mpango wa kufanya biashara ya keki hivyo nikizipika nagawa kwa rafiki zangu wenye birthday.
 
Kwanini? Fanya utoe upinzani kwa The Flying Chef (Mama Tambaza)

hatua niliyofikia naweza kumfunika sema tu kuandaa keki kuna hitaji muda na ubunifu ili kila siku utoe style mpya mpya hivyo bei watakayonilipa sitaridhika kwa muda na akili niliyoumiza kubuni urembo wa maana hivyo bora tu niendelee kufanya kama hobby tu.
 
Keep it up!
 
Back
Top Bottom