Kwa mapendekezo haya ya tcu je vyuo vikuu nchini watakubaliana nayo

Lugano5

R I P
Jul 15, 2010
4,520
755
WanaJF,napenda kuleta hoja mbele yenu tuijadili hii nikutokana na kikao cha TCU kilichokaa pale BLUE PEAL dar es salaam 27/06/2012 na marais wa vyuo vikuu vyote nchini na kukubaliana kwamba vyuo vikuu vyote nchini viwe na grade sawa katika ufaulu,GRADE hizo ni kama ifuatavyo


40-49, C

50-59,B

60-69,B+

70-100,A

je hii itakubalika kwani vyuo vingine kama SUA,MZUMBE,SAUT vina anzia 50 kama C,hii wamependekeza kwa sababu mbalimbali 1.mwanafunzi anpodisco chuo kimoja anaweza kwenda chuo kingine akaendelea kusoma ile course aliyofeli na mwaka uleule(kuhama chuo). nawasilisha
 
Sasa kukubari au kukataa si ni juu yao wenyewe!!! na reputation za vyuo vyao binafsi, kama itakua na tija basi watakubali.
 
Back
Top Bottom