Kwa maoni yangu, Kubenea anafaa kuwa katibu mkuu CHADEMA

Shukrani A. Ngonyani

JF-Expert Member
Feb 23, 2014
1,179
2,004
Si mwingine bali ni Saed Kubenea.

Unajua kwa nini?

1. Kuondoa propaganda ya udini.

2. Kuweka uwiano wa kikanda na kuondo propaganda hiyo.

3. Kubenea ana hamu ya kujijenga kisiasa, na tumeona kwa muda mchache tu amekuwa bora kwenye siasa za ndani ya jimbo na kitaifa, hivyo kumkabidhi chama atakubali afe nacho ili kujipa heshima.

4. Ni mtu anayeogopwa sana na wanakijani,(wengi hawajui hili). Ni mtu mwenye hulka ya kina Lema, Lissu nk. Wako tayari kusema ukweli hata wakiwa peke yao dhidi ya nyumbu wa kijani elfu moja.

nyumbu wa kijani msikasirike, ni yetu haya. Na mawazo yangu tu.

Naleta mezani kwa mjadala
 
Si ndiyo maana akasema ni mawazo yake 'nyumbu kijani msikasilike', au haukumuelewa umesoma kwa 120speed?
Kumbe kuna Nyumbu wa kijani na wale wa Kombati…!! Nilikuwa sijui ila sawa sio kesi kama ni mawqzoyake haitaji mchango basi kama haitajiki kupingwa kwa mawazo yake
 
kubenea anafaa sana hapo...salim mwalim, mnyika, na mrema walichangia sana kuikosesha chadema viti vingi vya ubunge kwa kuweka wagombea wasiokubalika na wananchi
 
U a not serious…!! Yani Kubenea awe katibu…!!
Hapana kabisa, mtu anayezevezwa kwa kupigwa "tanganyika jeki" hadi na "mako" tena live live
bila chenga , tena mbele ya wapiga kura wake .
 
Si mwingine bali ni Saed Kubenea.

Unajua kwa nini?

1. Kuondoa propaganda ya udini.

2. Kuweka uwiano wa kikanda na kuondo propaganda hiyo.

3. Kubenea ana hamu ya kujijenga kisiasa, na tumeona kwa muda mchache tu amekuwa bora kwenye siasa za ndani ya jimbo na kitaifa, hivyo kumkabidhi chama atakubali afe nacho ili kujipa heshima.

4. Ni mtu anayeogopwa sana na wanakijani,(wengi hawajui hili). Ni mtu mwenye hulka ya kina Lema, Lissu nk. Wako tayari kusema ukweli hata wakiwa peke yao dhidi ya nyumbu wa kijani elfu moja.

nyumbu wa kijani msikasirike, ni yetu haya. Na mawazo yangu tu.

Naleta mezani kwa mjadala
Umepagawa weweeeee. Ukimchagua kubenea sababu ya dini yake ndio udini wenyewe huo, tena ukimchagua kuwa kiongozi sababu ya kanda anayotokea ndio unakua ukabila wenyewe. Pia usidhani mpayukaji na mropokaji anafaa kuwa kiongozi mkubwa wa chama. kama unafahamu vizuri siasa za TZ kumbuka Yusufu makamba alipopewa ukatibu mkuu wa CCM alivyotaka kuiua Ccm.
 
kubenea anafaa sana hapo...salim mwalim, mnyika, na mrema walichangia sana kuikosesha chadema viti vingi vya ubunge kwa kuweka wagombea wasiokubalika na wananchi
Ni utoto kumlamu Mnyika na wakina Salim wakati wanapelekwa tu Mbowe, musione haya kumnyoshea kidole Mbowe … mbona husemi walimiweka mgombea urais asiefaa?
 
Hili la kukosa viti vingi Lina upana sana maana hata Mbowe anahusika
Na sikuona haja ya kura za maoni ndani ya chama kama tayari kuna mtu alieandaliwa
Tuliona matukio ya Moshi V kura zimerudiwa mara2 lakini mshindi hakupitishwa na kamati kuu mbowe akaja ofisi za chama akasema maamuzi yangu ni haya huyu aliyepata 25 ndie atagombea akaachwa aliepata 266 nako same kwa kina mbajo na kadege kulikuwa hivyo hivyo.. bunda morogoro nako yaani kwa ujumla kamati kuu chadema kuondoka Dr Slaa itaoza zaidi
 
Si mwingine bali ni Saed Kubenea.

Unajua kwa nini?

1. Kuondoa propaganda ya udini.

2. Kuweka uwiano wa kikanda na kuondo propaganda hiyo.

3. Kubenea ana hamu ya kujijenga kisiasa, na tumeona kwa muda mchache tu amekuwa bora kwenye siasa za ndani ya jimbo na kitaifa, hivyo kumkabidhi chama atakubali afe nacho ili kujipa heshima.

4. Ni mtu anayeogopwa sana na wanakijani,(wengi hawajui hili). Ni mtu mwenye hulka ya kina Lema, Lissu nk. Wako tayari kusema ukweli hata wakiwa peke yao dhidi ya nyumbu wa kijani elfu moja.

nyumbu wa kijani msikasirike, ni yetu haya. Na mawazo yangu tu.

Naleta mezani kwa mjadala
Kubenea ni mbunge hawezi kuwa mtendaji mkuu wa chama, muwe mnatumia akili japo kidogo.
 
Ni utoto kumlamu Mnyika na wakina Salim wakati wanapelekwa tu Mbowe, musione haya kumnyoshea kidole Mbowe … mbona husemi walimiweka mgombea urais asiefaa?
Hawa team Lowasa ndio wasemaji wa Chadema ....wale makamanda waliotukanwa miaka yote wamenywea ....kisa Mbowe kasema ....
 
Back
Top Bottom