..kwa mama rahel muhando...tbc

kalamata

Senior Member
Apr 16, 2011
144
29
...Wakati anaendesha kipindi cha jambo Tanzania leo tarehe 02.jul.12 pale Dodoma kwa kweli Dada yangu huyu hakua katika vazi la sitara kwa mujibu wa silka na desturi zetu watanzania na hata katika tasnia ya habari,nasema hivyo kwa sababu gani?kwa sisi watanzania tuliolelewa katika maadili mazuri,na ninaamini pia dada Rahel yumo,ni vibaya sana mwanamke anapovaa nguo fupi hadi MAGOTI yake kuonekana waziwazi,haswa anapokua mbele ya wanaume watu wazima.Kwa alie tazama Jambo Tanzania ya leo atathibitisha hayo,dada Rahel alivaa gauni fupi mno kiasi cha kuonyesha miguu yake hadi magoti kua wazi mno kiasi cha kuonyesha mapaja yake,jamani wanaotetea haki za wanawake wapo wapi?samahani dada Rahel kama nitakua nimekukwaza.Nyie waandishi wa habari mjue mnaheshimika sana katika jamii.naomba muwe mfano mzuri,nyinyi sio ma-miss.jiheshimuni haswa kwenye mavazi.
 
Labda yuko kibiashara zaidi huwezi jua ndugu yangu maana hao wabunge ni dhaifu kweli kwa wanawake.
 
mapaja, magoti, kwapa ni sehemu tu ya mwili, MAWAZO yako juu ya sehemu hizo ndilo tatizo kubwa. Kwa wengine hata midomo hasa minene ni tatizo lao hata vidole vya miguu pia 'huwakwaza'sasa je, tufunike wapi tuache wapi? Kama huwezi kujifunza kusitiri mawazo yako visingizio vitakuwa vingi.

Mzee Mtambuzi hebu mfundishe mtu huyu jinsi ya kuratibu kila kitu kinachopita mawazoni mwake kabla hakijafika kwenye mawazo ya kina(subconscious mind)
 
...Wakati anaendesha kipindi cha jambo Tanzania leo tarehe 02.jul.12 pale Dodoma kwa kweli Dada yangu huyu hakua katika vazi la sitara kwa mujibu wa silka na desturi zetu watanzania na hata katika tasnia ya habari,nasema hivyo kwa sababu gani?kwa sisi watanzania tuliolelewa katika maadili mazuri,na ninaamini pia dada Rahel yumo,ni vibaya sana mwanamke anapovaa nguo fupi hadi MAGOTI yake kuonekana waziwazi,haswa anapokua mbele ya wanaume watu wazima.Kwa alie tazama Jambo Tanzania ya leo atathibitisha hayo,dada Rahel alivaa gauni fupi mno kiasi cha kuonyesha miguu yake hadi magoti kua wazi mno kiasi cha kuonyesha mapaja yake,jamani wanaotetea haki za wanawake wapo wapi?samahani dada Rahel kama nitakua nimekukwaza.Nyie waandishi wa habari mjue mnaheshimika sana katika jamii.naomba muwe mfano mzuri,nyinyi sio ma-miss.jiheshimuni haswa kwenye mavazi.

Ukiona hivyo ujue bidhaa ipo sokoni!!! Si unajua siku hizi ushindani wa kibiashara ulivyo mkubwa? hapo Dodoma kipindi hiki ndiyo mavazi yanayolipa ukijitanda manguo hapo unaweza kujikuta unakosa ATM (Waheshimiwa), athari zake ni kulipa mwenyewe posho zako Hotelini!! Hata hivyo Dada Rahel huna sababu ya kuvaa nguo hizo ukiwa TBC kama vipi hamia East Africa TV
 
Kuvaa nguo fupi sio ishu kama wewe unayetazama mawazo yako swafi, mbona zamani tulikuwa tunakaa without kabisa, mwanamke hapa mwanaume/wanaume pale lakini hatukuwa tunashangaa?

Wapendwa kukaa uchi kupo ndani ya mawazo ya mtu, mbona wengine wanavaa minguo mrefuuu lakini usiku wanauza sukari na tunawajua bana...... mbona alipendeza tu.

Big up Dada Rahel Muhando.
 
Nadhani maendeleo ya mwanamke kwa sasa ni kurudi kule enzi ya manyani, maana si mmeona wamepata watetezi hapo juu, hawasikiii wala hawaambiliki.
 
Ulikuwa unasikiliza jambo leo au kumwagalia rahel mhando alivyovaa. Pole yako unayetazama mapaja badala ya kipindi.
 
...Wakati anaendesha kipindi cha jambo Tanzania leo tarehe 02.jul.12 pale Dodoma kwa kweli Dada yangu huyu hakua katika vazi la sitara kwa mujibu wa silka na desturi zetu watanzania na hata katika tasnia ya habari,nasema hivyo kwa sababu gani?kwa sisi watanzania tuliolelewa katika maadili mazuri,na ninaamini pia dada Rahel yumo,ni vibaya sana mwanamke anapovaa nguo fupi hadi MAGOTI yake kuonekana waziwazi,haswa anapokua mbele ya wanaume watu wazima.Kwa alie tazama Jambo Tanzania ya leo atathibitisha hayo,dada Rahel alivaa gauni fupi mno kiasi cha kuonyesha miguu yake hadi magoti kua wazi mno kiasi cha kuonyesha mapaja yake,jamani wanaotetea haki za wanawake wapo wapi?samahani dada Rahel kama nitakua nimekukwaza.Nyie waandishi wa habari mjue mnaheshimika sana katika jamii.naomba muwe mfano mzuri,nyinyi sio ma-miss.jiheshimuni haswa kwenye mavazi.

Acha uzushi wewe! Desturi za watanzania unazoongelea ndo zipi? Kwani mababu/mabibi zetu wa kale walikuwa wanavaaje? Mboona mavazi yao yalikuwa ni ya kufunika sehemu za siri tu? Acha kuwa na mawazo ya ajabu ajabu. Mbona ma bushmen hawavai nguo na hawana tatizo?
 
Kuvaa nguo fupi sio ishu kama wewe unayetazama mawazo yako swafi, mbona zamani tulikuwa tunakaa without kabisa, mwanamke hapa mwanaume/wanaume pale lakini hatukuwa tunashangaa?

Wapendwa kukaa uchi kupo ndani ya mawazo ya mtu, mbona wengine wanavaa minguo mrefuuu lakini usiku wanauza sukari na tunawajua bana...... mbona alipendeza tu.

Big up Dada Rahel Muhando.

sasa kama alivaa vizuri mapaja alibana ya nini siangeachia tu, alihisi ameharibu ndio maana alikua amekaa kama kalio moja linaupele... mama huwa namheshimu sana lakini anapoharibu lazima aambiwe
 
Huyo si leo tu, amezoea kuvaa vinguo vya namna, nadhani anatafuta soko......
 
Kwa maadili ya Kitanzania unayodai,hata wewe hukutakiwa kuendelea kumuangalia ungeangalia pembeni au ungechange channel, kama ulitazama mpaka mwisho na wewe umeshavunja hayo maadili unayodai.
 
weka picha mkuu.Unapozungumzia nguo fupi kila mtu ana kipimo chake.weka picha nithaminishe,
 
Back
Top Bottom