Kwa maendeleo haya, JK anastahili pongezi!

hivi toka lini barabara zikawa maendeleo?
hizo ni nyenzo za maendeleo kwa sababu maendeleo yanatafsirika katika maisha ya kila siku ya wananchi.
madini yote tanzania kodi yake kwa mwaka haiwezi kujenga barabara ya km 500.
deni la taifa ni sawa na bajeti ya mwaka huu.mi naona bora tulale njaa tulipe deni la watu.
 
Du thinking capacity ya watu wengine bwana ina betray usomi!
Sasa Mkuu niambie kipi kinatangulia maendeleo au barabara?
 
Si hayo tu. Mashule mengi kuliko wakati wowote ule, Vyuo vikuu vingi kuliko wakati wowote ule, Zahanati nyingi kuliko wakati wowote ule, Huduma Serikali zimeboreshwa kuliko wakati wowote ule, Kilimo cha tija kuliko wakati wowote tokea mkoloni. Barabara za lami nyingi kuliko wakati wowote ule, Maji mingi kuliko wakati wowote ule, Demokrasia imepanuka kuliko wakati wowote ule, Huyu Jakaya Mrisho Kikwete anastahili kila sifa ya uongozi, ni kiongozi wa kutukuka.

Si hivyo tu:-
1. Uhuru wa vyombo vya habari ( kama sasa hivi JF)
 
hivi toka lini barabara zikawa maendeleo?
hizo ni nyenzo za maendeleo kwa sababu maendeleo yanatafsirika katika maisha ya kila siku ya wananchi.
madini yote tanzania kodi yake kwa mwaka haiwezi kujenga barabara ya km 500.
deni la taifa ni sawa na bajeti ya mwaka huu.mi naona bora tulale njaa tulipe deni la watu.
Toa defination ya Maendeleo______________________________________________
 
..hiyo barabara ni one way??

..sioni mstari unaotenganisha lanes, au pesa za kumlipa mkandarasi zimeliwa/zimekwisha??

NB:

..mimi naona it is too little too late.

..kuna nchi kama Kenya na Ethiopia wana rasilimali kidogo kuliko sisi lakini wanafanya mambo makubwa.
 
Kwaiyo barabara sio maendeleo Duu?!

Wikiliki hakua na maana hiyo!!! Kujenga barabara na kuacha njia zetu za reli zife ni sawa na kwenda mbele hatua 2.... na kurudi nyuma hatua 5!! There is nothing to be excited for!!!!
 
hivi toka lini barabara zikawa maendeleo?
hizo ni nyenzo za maendeleo kwa sababu maendeleo yanatafsirika katika maisha ya kila siku ya wananchi.
madini yote tanzania kodi yake kwa mwaka haiwezi kujenga barabara ya km 500.
deni la taifa ni sawa na bajeti ya mwaka huu.mi naona bora tulale njaa tulipe deni la watu.

Bongo hatujaona barabara ndiyo sababu tunababaika na hivyo vinjia. Baada ya miaka 50 ya uhuru bado tunazuzuliwa na mabarabara, maghorofa, shoping mall........... Kweli nchi hii inahitaji mabadiliko makubwa sana!!
 
Nikweli Jk Yapo mambo mengi mazuri amefanya na yanaonekana hata bara bara ya Ruaha mpaka Iringa ni nzuri na inapendeza sana Hongera sana JK
 
Bongo hatujaona barabara ndiyo sababu tunababaika na hivyo vinjia. Baada ya miaka 50 ya uhuru bado tunazuzuliwa na mabarabara, maghorofa, shoping mall........... Kweli nchi hii inahitaji mabadiliko makubwa sana!!

Mkuu wewe una viraka matakoni unajilinganishaje na matajiri?
 
Si hayo tu. Mashule mengi kuliko wakati wowote ule, Vyuo vikuu vingi kuliko wakati wowote ule, Zahanati nyingi kuliko wakati wowote ule, Huduma Serikali zimeboreshwa kuliko wakati wowote ule, Kilimo cha tija kuliko wakati wowote tokea mkoloni. Barabara za lami nyingi kuliko wakati wowote ule, Maji mingi kuliko wakati wowote ule, Demokrasia imepanuka kuliko wakati wowote ule, Huyu Jakaya Mrisho Kikwete anastahili kila sifa ya uongozi, ni kiongozi wa kutukuka.

sio nia yangu kuingia katika majibizano lakini nakumbuka katikati ya miaka ya 80 nilipita barabra hiyo nikitumia land rover 109, kwa kweli hali ilikuwa mbaya kwani licha ya ubovu wa barabara kulikuwepo pia mbungo wengi sana ambao walitusumbua sana.Kwa wakati huu sijapita barabara hiyo ila natamani nipite nione na hali za wenyeji wa maeneo hayo ambao walikuwa wanaishi maisha duni
 
Nenda utashangaa, utakuta mpaka ma dish ya satellite huko kwa wenyeji.
 
Mwenyezi mungu akureemu sababu wewe nimfu ulie hai.

Pole sana kwa kukumbatia giza, unaloliona kuwa ndio mwanga. Funguka macho uone uoza uliomo na kutambua kuwa kwenu bado wewe utaishi kwa ahadi za majukwaani na unalala, utakula na kunywa pipooz hewa.
Kama maendeleo ya bara bara yanakukera jaribu kufika kwenu na ndege.
 
basi na mimi nipongezeni kwa kukatwa PAYE ya laki nne na 65. Hizi zimetumikaje? maana nisijekuta barabara nimejenga kwa jasho langu halafu nampongeza mtu mwingine
 
japan nchi ndogo kwa eneo lakini ina zaidi ya vyuo vikuu mia saba linganisha na Tanzania ambayo hata haina vyuo vikuu 50
 
View attachment 56167
Mlima Hanang kulia.
View attachment 56168
Mlima Babati.

Jamani tumpe haki yake JK kwa maendeleo ya miundombinu inayoenda kwa kasi ndani kabisa mwa Taznania.
Sehemu kama za Katesh,Babati kwa muda mrefu zilikuwa zikifikika kwa taabu sana,
Sasa hivi trip ya Singida-Arusha kwa "teksi" ni muda wa saa nne tu.
Bravo JK!!
samahani mkuu................. What do you mean by JK...........? Joka la Kibisa, Jinga la kikwere, au?? Sijakusoma mkuu....
 
jua kwamba hata asipo kuwepo raisi hapo magogoni barabara zitajengwa 2! labda tumpongeze kwa kubadiri baraza la mawaziri mara mbili kwenye kipindi chake, na kutembea nchi nyingi duniani!
 
Watanzania tunakabiliwa sana na ufinyu wa mawazo, pongezi anapewa mtu aliyefanya kazi zaidi ya malengo aliyojiwekea, sasa unataka kuniambia kuwa jk kajenga barabara zaidi ya malengo yake, mbona sehemu nyingi watu wanalia hakuna huduma za barabara ukiachilia mbali huduma nyingine za muhimu. Sina samahani na nyinyi mazezeta mnaosifia vitu visivyo na sifa zaidi ya kuwapa :A S thumbs_down:
 
Back
Top Bottom