Kwa madada mnaotafuta mahusiano

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,876
2,744
Kikweli ninawasoma japo kijuujuu katika mabandiko yenu. Kuna tatizo nimegundua. Mnahusudu sana kutafutwa wakati shida ni yako. Mbona kuna mabandiko ya wanaume wakitaka wenza hamuwatafuti mnasubiri kubandika nyie ili mtafutwe? Nina mfano mdogo humu. Nilibandika tangazo langu nikaweka na namba. Binti anabip. Baadae unapiga halafu ktk maongezi anasema nikusaidie nini. What the f***k! Tunaongea ukweli tu. Una shida jilegeze. Hata hao ambao nimeshaona mabandiko yao (sija apply. Yupo bed tayari ananisubiri) pamoja na mahitaji yao bado wataleta usumbufu usio lazima. Someni tu lkn si muhimu kuchangia
 
Maskini wa Mungu....unatia huruma....you are too bitter and angry.........kakuambia nani hatuwatafuti wanaoweka vigezo vinavyoeleweka?....wewe hawakuku-PM manake vigezo vyako havikuwavutia....wanaweka kwa kuwa watu kama wewe hamkuwavutia so pengine wanaweza vutiwa na wengine......wenye vigezo mbona wanafunga account kwa PM....mwenzangu wanakuona hufai ndo maana wanakupotezea

...unaposema pamoja na mahitaji 'yao'.....wewe nae si una hitaji ndo maana ukawapigia simu? iweje iwe ni mahitaji yao na si yenu? unapoulizwa usaidiwe nini.....ina maana hauko straightforward au yuko busy na wewe unaleta porojo.....kazi kweli kweli!!!!!
 
Mie nimesoma tuu, kweli inauma mtu umebandika tangazo hafu watu hawajitoi, LOL...unafikiri kwasababu mtu unahitaji mtu basi ni kila abandikaye tangazo wajitokeza? pole sana man, lakini pia ujue humu ndani kuna wanawake feki wanoomba parteners. do not give hope they will come.
 
avatar_2050.gif
:A S 13::A S 13:
 
Kikweli ninawasoma japo kijuujuu katika mabandiko yenu. Kuna tatizo nimegundua. Mnahusudu sana kutafutwa wakati shida ni yako. Mbona kuna mabandiko ya wanaume wakitaka wenza hamuwatafuti mnasubiri kubandika nyie ili mtafutwe? Nina mfano mdogo humu. Nilibandika tangazo langu nikaweka na namba. Binti anabip. Baadae unapiga halafu ktk maongezi anasema nikusaidie nini. What the f***k! Tunaongea ukweli tu. Una shida jilegeze. Hata hao ambao nimeshaona mabandiko yao (sija apply. Yupo bed tayari ananisubiri) pamoja na mahitaji yao bado wataleta usumbufu usio lazima. Someni tu lkn si muhimu kuchangia

Pole sana RF.....

Hapo kwenye RED....kwa mila zetu za kiafrika, mwanaume ndo anamuanza mwanamke.....kwahiyo usishangae!
 
Duh!!Umekua mkali!!Sasa si anabip kwasababu hana credit???Alafu anakuuliza akusaidie nini ili umwambie hitaji lako mwenyewe uskite JF ulikua unatania!!!!
 
nahisi huyu kaka RF is in bitter war with wadada wa JF ,ngoja tujipange na sie fita ni fita muraaaaaaaaaaaaaa!:wink2:
 
Back
Top Bottom