Kwa maamuzi yao, Siku madaktari wakigoma tena basi historia itawahukumu!

LATTICE BOND

JF-Expert Member
May 30, 2011
219
48
Nyoni Kasimamishwa!!! what about Jairo's Story? wote wale ni makatibu wakuu!! kwa nini Pinda ashindwe kumsimamisha Jairo halafu aweze kumsimamisha Nyoni?
Hakika madaktari waliingizwa mjini!! walionyeshwa bulb wakaambiwa ndio mwezi nao wakakubali!! huenda ndio sababu madaktari hawa huweza kufanya operation ya Kichwa badala ya ile ya mguu!!!
WHAT A SAD STORY!!
 
Back
Top Bottom