Kwa laptop isiyo na fire wire option inaingizaje video?

Mathias Byabato

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
1,020
691
Wakubwa nataka kutumia laptop isiyo na option ya fire wire pin kwa ajili ya ku-capture video direct kutoka kwenye video camera to Laptop .
Je naweza kufanyaje kwa sababu hakuna (nadhani) firewire zenye mfumo wa Usb zinazoweza kuingia kwenye laptop hapo hapo ikaingiza kunako laptop kama ipo nisaidie

asante
 
Jamaa umejaribu to go thru Manual Book au kama hiyo haipo just try online help kwa mimi ninavyoona ndiyo inawezekana ikawa more helpful thou out here people can help you to fix it.
 
Great Option ni kuwa na TV box hapo utapata options kibao nadhani m zinatatika maduka mengi!!!! Jaribu keshu kuzunguka madukani utapata hiyo TV Box ni nzuri kwa kazi kama zako.......
 
Back
Top Bottom