Kwa kweli niko juu ya mawe nishikeni mkono

Atakae kuuliza analake jambo
Mlete kwangu nimfundishe adabu..

Seriously.
Usifikirie ku ahirisha.. please , for once just say
F u c k all I'm going .. utajisikia fresh kweli ..
Usifikiri sana. . Just so it. . Love you always .
Weeee ofcourse i'm going. . mpaka ratiba nishaandika. Sema bana this place is a mess. . . hata kiatu cha kuvaa kesho kimoja sijui kilipo.

Me love you too, alafu nna umbea ila sikupi mpaka nifike.
 
Valentine ni utata mtupu hapa nilipo nimetakiwa kunua gauni jekundu nyie wanawake mnatutesa tena maana mshiko umekata halafu hamuelewi

Mshiko umekataa hiyo si shida yetu..
Wewe kwanini hukuanza ku save fedha na unajua live valentine unakuja .. yaani ni kitu
Ambacho kipo sio kama vile umestukiziwa tu ..
 
Wahenga wanasema ukiona mtu mzima analia ujue kuna jambo. Bandugu hali imetaiti najicheki nina kama buku tu. Okoeni jahazi jamani mtoto wa kiume nisiadhilike.

Wahenga hao hao wanasema kila mbuzi atakula urefu wa kamba yake.
MAPROSOO.
 
Weeee ofcourse i'm going. . mpaka ratiba nishaandika. Sema bana this place is a mess. . . hata kiatu cha kuvaa kesho kimoja sijui kilipo.

Me love you too, alafu nna umbea ila sikupi mpaka nifike.

That's ma girl...

anyway nipe umbea bana sasa umeshaniweka roho juu
nahema kama jogoo hapa hahahahah lol twende kipande cha pili basi..
acha kunitesa mtoto wa watu hahahahahahah lol
 
That's ma girl...

anyway nipe umbea bana sasa umeshaniweka roho juu
nahema kama jogoo hapa hahahahah lol twende kipande cha pili basi..
acha kunitesa mtoto wa watu hahahahahahah lol

Hahahahha. . . sikupi ng'ooo!! Labda kama utanipa zawadi.
 
Maneno yako yanichoma au ngoja nitumie cheo chako cha zamani

Hahaahaha...... hamna haja ya ku2mia hicho cheo!! we unakosea kule badala ya kuomba mweka hazina wa kamati ili upige urichmond!! wewe unaomba ubest man!!!
MAPROSOO.
 
afu wewe
nimekusikia
unataka atupige cha juu?

Hahaahaha...... hamna haja ya ku2mia hicho cheo!! we unakosea kule badala ya kuomba mweka hazina wa kamati ili upige urichmond!! wewe unaomba ubest man!!!
MAPROSOO.
 
Back
Top Bottom