Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mleta mada wewe c mwanachama,uteuzi wa cdm cku zote ni makini..you play da game of devide and rule u Gambaz.INAKUWAJE GAZETI LA UHURU LIANDIKE CHADEMA HOI YAAMBULIA KATA TANO,CUF NA TLP WATESA KATA MOJA MOJA..eti 'watesa' kumbe TLP na CUF hata wakiporomoka wake zenu hawa mnawasifia
kuna vitu ambavyo kama chama kinataka kuwa imara lazima kikubali kubadilika na kuambiwa ukweli pale inapoonekana inabidi.kwa upande wangu masalia kutoka vyama vingine hayana maana.tuchukulie mfano wa nyimbo alikosa ubunge basi anaona sera za chama siyo nzuri nafuu za kule alikotoka.na mwanachama yeyote anayetoka kwenye chama chochote cha siasa akaanza kukikosoa baada ya kutoka lazima ujiulize kwa nini.cha msingi vijana wanaomaliza vyuo vikuu lazima waangalie hili kwa ajili yakuikomboa nchi yao.wagombee nafasi za uongozi kama anauwezo na nia njema.