kwa kupewa loan... naipigia ccm kura alafu naupigia mlima Kilimanjaro kura

Eti nilikuwa nawashangaa vijijini wanavyopewa tshirts na khanga na pilau isiyo na nyama, afu wanaipigia kura nyinyiemu. Wanatelekezwa miaka mitano, na wakirudi tena wanapokelewa na mdundiko na wanarudia kudanganywa.

Sasa hii kiazi cherema imepataje admission? Ndo msomi wa form 6 huyu? Safari bado sana
 
Pumbavu mkubwa weee!!!!huo mkopo umetokana napesa za walipa kodi na sio ccm!!!!!!!tumia akili au kichwa chako kina pancha??
 
Pu***vu zako,so ukipewa mkopo tu ww ni nyinyiem na tuliokosa ni makamanda,sio mbaya ni her nicpate mkopo lkn nitaendelea kuwakubal makamanda wangu wa magwandwa kwan najua mm nimekosa lkn kizaz changu kitapata mkopo,mz***mbe ww.
 
wewe hujielewi,inabidi uende muhimbilim kupma akili.Lazima utakuwa punguani au taahira.Angalia sana mwenendo wako wewe Nyoka mwenye sumu kali.Huwezi kwenda mbinguni mpaka ukatubu dhambi yako hii.Kumbuka hivi ni vidole viunaongea .Aka.sio mimi.Tehetehetehe!!!!!!!!!!!!!
 
wewe hujielewi,inabidi uende muhimbilim kupma akili.Lazima utakuwa punguani au taahira.Angalia sana mwenendo wako wewe Nyoka mwenye sumu kali.Huwezi kwenda mbinguni mpaka ukatubu dhambi yako hii.Kumbuka hivi ni vidole viunaongea .Aka.sio mimi.Tehetehetehe!!!!!!!!!!!!!:flypig:
 
Nina mkopo wa nguvu lakini sidanganyiki kwa kuwa KUPATA MKOPO NI HAKI YANGU NA NI WAJIBU WA SERIKALI KUNIPA MKOPO, na mimi naplay wajibu wangu kama mwananchi na nikimaliza chuo niwalipe ili wadogo zangu nao wapate, maisha yaende kwa haki na kuupigia kura mlima ni wajibu wangu. We bado una akili za ki-first year.
 
Kwa thinking hiyo, kweli unahitaji kwenda shule. Unashukuru, hujui kuwa unadeserve hata zaidi ya hizo? Tuaminishe tu ww una mapenz na CCM siku zote, si kwa sababu ya mkopo. In fact, ni halali yako kabisa, pengine ungepewa bure na isiwe mkopo.
 
mama yangu weeee,mtu usipojua haki zako ni hatari yaani magamba wapo madarakani kwa watu kama hawa ambao haki zao wanaona zawadi,kwa taarifa yako haikutakiwa ukopeshwe hizo pesa ilitakiwa usomeshwe bure!....
 
Back
Top Bottom