Kwa kumsafisha Jairo:Ludovick S. L. Utouh nawe Jiengue

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
Wana JF
kama tunakumbuka vyema baada tu ya kugundulika kuwa Mh Jairo alichangisha mamilioni ya pesa kwa ajili ya kukilimu wageni kinyume na utaratibu wa serikali, Ludovick S. L. Utouh MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI alimsafisha Mh JAIRO Na kuweka wazi kuwa hakukuwa na makosa yeyote yale aliyoyafanya Mh

kwa kuwa kamati ya bunge imemkuta na hatia Mh Jairo basi haina budi na Ludovick S. L. Utouh aka jiengua na kukaa pembeni kwa upotoshaji alioutoa

nawasilisha
 
hayo mbona yametamkwa bayana na kamati bado utekelezaji tu kupitia ofisi ya Rais. Kama Rais hataki ugomvi na Bunge hutekelezaji ni dhahili., na asipotekeleza watapiga kura ya kutokuwana Imani nae . Patamu hapo
 
Mi thijakuelewa
 
Sure!
Naamini Engineer Mtolera hajapata nafasi ya kutosha ya kusoma ripoti ya kamati!
 
Back
Top Bottom