Kwa kiongozi makini au rais makini sakata la jairo ilikua kuwafukuza kazi mara moja

Jan 16, 2007
721
176
Kwa sakata la kina Jairo na usisadi wa songazi baada ya kamati ya bunge kuanika madudu yao wengi tulitegemea Rais JK angelichukua hatua mara moja kuwafukuza kazi Waziri wa nishati Ngeleja,Jairo,Luhanjo,Mkaguzi mkuu wa mahesabu na wote walioshiriki katika sakata hilo.Na kuitisha uchunguzi katika wizara zote na hatua za serikali kuchukua mkondo wake.Ushahidi uliotolewa ni tosha.Lakini cha kushangaza sasa ni siku ya nne hakuna kauli sio ya waziri mkuu wala JK,wanasubiri nini?Watu tunaanza kuhisi ya kua jeuri ya Luhanjo sio bure kwa lilotokea lilipata baraka ya JK.Hata kama JK atawajibisha hivi sasa itachuliwa ya kua si kwa nia yake bali kwa reaction na pressure ya jamii.MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
..Jairo ndiyo amempokea JK pale wizara ya nishati na madini.

..wamekuwa pamoja ktk kila wizara tangu wakati huo, wameachana juzi alipomteua Jairo kuwa katibu mkuu.

..kwa kifupi hawa ni marafiki wakubwa, tena wa muda mrefu.
 
Inatosha kusema hatuna Rais makini. Kichwa cha Nazi tupu!
 
mzee wa kaya ataki kuwafukuza wkina jairo na luhanjo kwani wamekaribia kustaafu na anaona maswahiba wake watakosa mafao.kwaiyo anavuta muda kidogo jamaa wastafu!
 
Back
Top Bottom