kwa kinababa tu...........

Mimi siamini kwenye kupigana physically kutatua matatizo. Ndo maana naamini kwenye kuachana!
Ila bishanga, my 6th sense inanitahadharisha kuna mdada humu jf unajaribu ku-justfy kitu kwake. Let's leave it for now bepari. Pole mwaya.
Kwa hiyo huwa mna log book mnarekodi mmetutandika Mara ngapi? Saw a ban a.
 
Mimi siamini kwenye kupigana physically kutatua matatizo. Ndo maana naamini kwenye kuachana!
Ila bishanga, my 6th sense inanitahadharisha kuna mdada humu jf unajaribu ku-justfy kitu kwake. Let's leave it for now bepari. Pole mwaya.

Ahsante
 
Si kitu cha kufumbia macho kwa kweli.. na tuache mzaha...

Kama amepigwa na mkewe, kwakweli hiyo hata mimi inaniudhi wala sifagilii mangumi kabisa! Ila kama ikitokea mtu amepigwa na kimada.......aah hiyo naigongea like aisee!!! Lol
 
Babu, naheshimu busara zako. Big up!

Ila Bishanga has a serious problem, nadhani ni mara ya pili anaongelea kupigwa na mwandani wake[Q. Anahitaji kukubaliana na mwenzio kama hawawezani waende next stage kwa kweli. Physical abuse haikubaliki, hata kama umepigwa na mtoto. U will end up being violent than ur offender!

I can swear to everyone ...hata Mungu baba,

Hajapigwa mtu hapa...Kuna kitu Bishanga anakitafuta tu...

Rest assured, mshikaji anapanga mashambulizi ya kiutu uzima....!!

Babu DC!!
 
Yaani anataka kutumia trick za kimafia

Ngoja nikupe analysis yangu
Kuna mtu aligonga humu
Afu huyo mtu akamtema B
Sasa B anataka round ya pili
Sasa anakuja na kisingizio cha mkewe anamtesa
Ili aonewe huruma
Akaliwazwe

He is playing dirty

Aisee pole sana lakini umetukera sana sisi wenzako unatakiwa ukipigwa mwanaume hutangazi huendi polisi wara humrudishii .

Ungekaa kimya sasa unafundisha tabia mbaya na wanawake wengine wataanza kupiga wanaume wataona inawezekana.
 
wanaume tufunguke bana,tukidundwa tuseme la sivyo tutakuja uawa hivi hivi,ohoooooooooo!!
 
I can swear to everyone ...hata Mungu baba,

Hajapigwa mtu hapa...Kuna kitu Bishanga anakitafuta tu...

Rest assured, mshikaji anapanga mashambulizi ya kiutu uzima....!!

Babu DC!!
we babu yake Lizzy,kongosho,kipipi,feisbuku,MJ1, mwali,AD,Michelle na genge zima la mafioso wa humu mmu ujue unazeeka vibaya,lol!
 
Kama amepigwa na mkewe, kwakweli hiyo hata mimi inaniudhi wala sifagilii mangumi kabisa! Ila kama ikitokea mtu amepigwa na kimada.......aah hiyo naigongea like aisee!!! Lol
eti eh!
 
we babu yake Lizzy,kongosho,kipipi,feisbuku,MJ1, mwali,AD,Michelle na genge zima la mafioso wa humu mmu ujue unazeeka vibaya,lol!

Haya basi Bishanga...Ngoja sasa nianze kuzeeka vizuri,

Pole kwa kudundwa ndugu yangu....nakushauri ukanunue rungu kubwa umbonde nalo kichwani...

Ila usipige medulla oblongata, ..sawa mdogo wangu??

Babu DC!!!
 
Mie sijawahi kupigwa ila nishawahi kuchimbwa mkwala nikanywea kama sisimizi...............lakini niliwahi kuambiwa na wahenga kwamba mke au GF wako akikupiga unatakiwa ulie machozi yatoke kabisa kwani hiyo itakuwa ni laana na nuksi kwa mke huyo hatakaa akupige tena!
 
we waharibu tu wajukuu zako,kuna siku mmoja wao utasikia yuko ICU,we ngoja natafuta dojo na sensei wa ukweli nianze kujifua.
 
Mie sijawahi kupigwa ila nishawahi kuchimbwa mkwala nikanywea kama sisimizi...............lakini niliwahi kuambiwa na wahenga kwamba mke au GF wako akikupiga unatakiwa ulie machozi yatoke kabisa kwani hiyo itakuwa ni laana na nuksi kwa mke huyo hatakaa akupige tena!
ndugu yangu huyu naona kazoea,kwake imekuwa ka hobby,sijui ana ka u sadist streak?
 
Yaani anataka kutumia trick za kimafia

Ngoja nikupe analysis yangu
Kuna mtu aligonga humu
Afu huyo mtu akamtema B
Sasa B anataka round ya pili
Sasa anakuja na kisingizio cha mkewe anamtesa
Ili aonewe huruma
Akaliwazwe

He is playing dirty
hiloooooo mzushi ka asha ngedere,tena ushindwe!
 
Hujafundwa wewe inaelekea eh? Au hauangalii sinema basi. Angelina Jolie na Brad Pit walianzia hapo hapo kwenye ugomvi. Kamata mama yeyoo kisha mbunye. Ebooo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom