kwa kinababa tu...........

Silali leo i am contempleting my next move,ama zake ama zangu.Tena ashukuru jf,mtambo wa kushusha presha.

duuuhhhh
Haya bana .. Lakini hii ya kwenu labda ni kuto kukubaliana tu kitu fulani "Verbally"
na si mangumi mangumi haswa...
 
Silali leo i am contempleting my next move,ama zake ama zangu.Tena ashukuru jf,mtambo wa kushusha presha.

Bishanga Bishanga pleaasee!!

Hebu tusome na kaka/dada yako Kongosho....

Huwezi kujiandaa kujibu kipigo cha mkeo....Labda kama unatafuta yale makonyagi yenu ili umkomeshe kwa njia nyingine!!

Kurusha ngumi....never ever do that bro!!

Babu DC!!
 
Hivi sio wewe ushawahi kupigwa makofi stendi na mke wa jirani kwa madai ya kwamba unamtafutia mume wake wasichana? Au ilikua nani yule?
 
Bishanga Bishanga pleaasee!!

Hebu tusome na kaka/dada yako Kongosho....

Huwezi kujiandaa kujibu kipigo cha mkeo....Labda kama unatafuta yale makonyagi yenu ili umkomeshe kwa njia nyingine!!

Kurusha ngumi....never ever do that bro!!

Babu DC!!
tigabulwa mbozi,nyenkya olagaulila!
 
Ntaanzia wapi jamani?Mi unajua ngumi zangu zilivyo.

Alafu umeona picha za kikao?Angalia hapo juu imewekwa kwenye Sticky posts.
na hayo mapicha yenu yanahusu nini hapa?
 
Atakuwa na hasira kali sana huyo..

Anyway mwanaume proper,hamrudishii partner wake.. Wala polisi si good solution..
Kama ni mwanamke understanding,haina haja hata ya kwenda kwa wapambe wa harusi...
Inabidi abembelezeke na kutafuta sehemu yenye environment conducive na kuyaongea..
 
Ntaanzia wapi jamani?Mi unajua ngumi zangu zilivyo.

Alafu umeona picha za kikao?Angalia hapo juu imewekwa kwenye Sticky posts.

teh teh teh uso mororooooo kweli..
ndo maaana nilifungua skype mpya ajili ya siku ile lolz..
Halafu sijamuona desh desh au ndo mpiga picha??
 
Hhhmm tukachakachue kwingine. . .hapa sio.

Ila mi nimemwona. . .angalia tena.
 
tena kile kipigo
akatoe kitakatifu

ili aelewe mwanamme hapigwi kwa kofi
bali tende, halua, na chai ya maziwa yenye mchaichai
na mkate wa kumimina

Bishanga Bishanga pleaasee!!

Hebu tusome na kaka/dada yako Kongosho....

Huwezi kujiandaa kujibu kipigo cha mkeo....Labda kama unatafuta yale makonyagi yenu ili umkomeshe kwa njia nyingine!!

Kurusha ngumi....never ever do that bro!!

Babu DC!!
 
Babu, naheshimu busara zako. Big up!

Ila Bishanga has a serious problem, nadhani ni mara ya pili anaongelea kupigwa na mwandani wake[Q. Anahitaji kukubaliana na mwenzio kama hawawezani waende next stage kwa kweli. Physical abuse haikubaliki, hata kama umepigwa na mtoto. U will end up being violent than ur offender!

Kwa hiyo huwa mna log book mnarekodi mmetutandika Mara ngapi? Saw a ban a.
 
Atakuwa na hasira kali sana huyo..

Anyway mwanaume proper,hamrudishii partner wake.. Wala polisi si good solution..
Kama ni mwanamke understanding,haina haja hata ya kwenda kwa wapambe wa harusi...
Inabidi abembelezeke na kutafuta sehemu yenye environment conducive na kuyaongea..
Ushawahi kutiwa kibano na mkeo/gf wako? Hayo machungu yake usiombe kaka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom