Kwa kina kaka wote(wanaume)

Wanaume hushawishiwa na macho kuona na kutamani. Endapo toka atokako macho yameshawishiwa na kuizuia nafsi yake kwa matarajio ya kupona kwa mkewe then mke analeta ubejin hapo tegemea mtoko wa ghafla breki kwa macheni au kndoni. Na kibano kikidumishwa tegemea small house na sijui utamlaumu nani. Kumbu yangu yanambia kuwa mzaha mzaha huo ndo mara nyingi ni sosi ya nyumba ndogo. Kuwa makini usimruhusu mwenzi wako kujiuliza umeponea wapi mpaka hutaki anapokuwa anateswa na abdala para wazi. Kuwa makini mtu wangu
 
Mkuu mie nina mfano hai kabisa;(ma best friend) kidume unajituma kwa simu na msgs na zawadi mpaka wine; mchezo unapokaribia anakuwahi kitandani wewe unapofika kitandani yeye kishakoroma! Rafiki yangu ametoa notisi ya mwezi mmoja la sivyo anaoa mke mwingine; tunamsaidieje?

Kwa mwendo huo, huyo anastahili notisi kabisa:D! Lakini nadhani na kina mama nao wajanja, wanaangalia sana watu wa kuwafanyia hayo 'mauzauza'!
 
Kwa nini lawama ya kunyimwa ni wanaume tu wanalalamika? mbona wanawake wanyinawa na hawalii kama hii midume???

Tena wanaume mkipata kidoshi nje, ukavinjali walahi mkeo anakuwa kiporo kila siku, tena bila aibu mume anatoa sababu kwamba amechoka sana na kazi. Lakini mke husikiliza na kumpa pole tele mumewe.

Masikini kiumbe mwanamke, humilirikiwa na kutumiwa na kiumbe mwanaume ktk kila hali.

Ukiwa mtoto unaitwa binti fulani...
Ukiolewa basi ni mrs. fulani...
ukizaa basi mama fulani....

Lini mwanamke atakuwa yeye???

Dawa ya kutonyimwa unyumba ni kumpenda mkeo tu...

Huyu anayelalamika pengine hajui hata alim-kiss lini mkewe. Huenda unambaka tu ndiyo maana mkeo tendo la ndoa analiona ni adhabu.

Mwandae mkeoooooo..... khaaaa...

 
Tatizo tumedharau jando na unyago ndio maana kuna hoja kama hizi.
 
Hiyo inakuwa vise versa,hata kwa mwanamke akikuambia anahamu alafu ukamwambia hujisikii,atajua kuwa una mwanamke mwingine!!
 
Kwa mwendo huo, huyo anastahili notisi kabisa:D! Lakini nadhani na kina mama nao wajanja, wanaangalia sana watu wa kuwafanyia hayo 'mauzauza'!

Inawezekana; nidadavulie nimwambie ajihadhari!

Nini wanachokiona na wanachokitegemea hapo mpaka wawe hivyo?
 
Rudi nyumbani ukawaulize wazazi/walezi wako nini maana ya ndoa, mengine ni mapambo tu. Kwa hili mi naona ndoa yako iko njiani kuvunjika, jihadhari tafadhali.

una akili sana wewe,asante
 
Back
Top Bottom