Kwa kina kaka wote(wanaume)

Jeeeeeeeeeezzzzz......Noname kumbe unajua kubembeleza hio...no wonder jamaa anafaudu sana!
Hapa hommie naona u do ze nidiful asap

afu apo kwen stalking nimecheeeeka hadi mbavu sina jamani una vituko sana wewe Noname....miss u
Mi nimeona hapo tu.
 
Hapo kwenye red; unaweza kuthibitisha hilo? Ulishanijaribu mimi?

Kwenye blue: Unaponyimwa HAKI YAKO kama ulivosema, hupaswi kuidai?

Kwenye black: Umeolewa ili ukaimbe kwaya kwa mmeo?

mkuu nilikuwa na mengi yakuchangia lakini majibu yako yametosheleza kila eneo jibu la nyongeza biblia inasema msinyimane
 
Haifai kukasirika au kuzua ugomvi ukinyimwa sababu;
1.Inawezekana kabisa wakati huo hayupo tayari kuna kitu kinamsumbua kichwani,WANAUME TUSIWE WABINAFSI.mtu hataki unalazimisha,si kubaka huko?
wala usimuulize kwa nini hataki, endelea na mambo mengine,piga push up kama 100 hivi ruka kichura chura ,abdala kichwa wazi atalala,na kama alikuwa anakutest akikuona unavyohangaika kumtuliza jamaa,utasikia akisema'basi njooooo'. eeeeh mwanangu,Taratiiibu mzee mwenzangu unaingia bafuni,unaoga ukitoka huko kazi moja.

Hapo kwenye Red ni Hatari hiyo unaikaribisha; na kibinadamu you'd always want to know! Lets be honest! Blue ni hapo ni kichekesho kitupu mkuu; yaani utaanza tu kupiga push up saa 6 usiku! weeeeeeeeew weeeeeeeeeeew temea mate chini!

2.Raha ya mapenzi ni pale mwanamke anapohitaji,mara afanye kituko hiki mara hivi,
au akueleza live kuwa sasa nataka,sasa hapo jamaa yangu wala usipoteze muda,
kazi moja tu..............

Mungu zibariki ndoa hizi zidumu milele!

3.Inawezekana kabisa,labda shauri ya joto kuna viupele au mchubuko fulani,eeeeh
hadi akuambie,we unataka tu,hayomapenzi......au mateso.
4.Ila akigoma mfululizo zaidi ya wiki moja hapo sasa omba akupe sababu.
5.Ile mikambaku na mibeberu huwapanda ng'ombe na mbuzi wakati wako kwenye heat tu.
usikasirike wala usimlazimishe kama mwenzio hataki.wala huta faidi.

Hapa suala linakuja kuwa hizi sababu zinajirudia wiki nenda wiki rudi; na wala sio kulazimishana suala ni kuwa inatokea katabia ka kukunyima kanajengeka nabaadaye yaani unakuwa huna uhuru kabisa na unaishia kukata tamaa!:mad:
 
aha kweli bana wiki 3 is too much... I was talking about one to 3 days.... that kind of woman is either very cold au anataka kukukomoa... u know what am saying?

It always starts with 1, then 2 then ...............

These things vinawatokea watu!:mad:
 
Hapo ndipo huwa jukwaa hili linanifurahisha..sredi inawataka wanaume tu laikini kina FL1 na wadada wengeine wameisoma kana kwamba inawahusu na si okusoma tu na kujibu pia.Mmh.. jamani kwani nyie wanaume mnoba wadaku hivyo?

GS wala sio udaku
unashindana na Mungu sasa!!! mwenyewe alimuumba Adam akaona mmmh mbado kukamilika mamb hapa ngoja nimmege ubavu nimfanzie mwenza yaani Hawa!!!

sasa bila mwanamkw hamna mwanamme na bila mwanamume hakuna mwanamke

kama huamini kaangalie kule kwenye sredi ya '....kwa wakina dada tu....'
 
GS wala sio udaku
unashindana na Mungu sasa!!! mwenyewe alimuumba Adam akaona mmmh mbado kukamilika mamb hapa ngoja nimmege ubavu nimfanzie mwenza yaani Hawa!!!

sasa bila mwanamkw hamna mwanamme na bila mwanamume hakuna mwanamke

kama huamini kaangalie kule kwenye sredi ya '....kwa wakina dada tu....'

Nilikuwa natania tu my dia.
 
Dah!

Sijui ni kiswahili kinanipiga chenga au? Hapo kwenye red unasema ndoa zinavunjika BILA SABABU. Je BILA SABABU kwa lugha nyingine ni kunyimwa haki ya tendo la ndoa? Una uthibitisho wowote kuwa KUNYIMANA tendo la ndoa ndio chanzo kikuu cha kuvunjika ndoa?

Hapo kwenye blue: Kama si tendo la ndoa kwanini hatuwaoi dada zetu? Kwa sababu hujui, ngoja nikusaidie kidogo. Sababu kuu ya kwanza kabisa ya watu kuoana ni KUMEGANA KIJUMLA NA KIHALALI!
dah, nimeipenda hii, yani nimecheka kama chizi, too bad i am seenig it now
 
Mke anayekatalia unyumba huyo ni wa kumuacha tu, talaka, period. Au kama unasitasita,arudi kwao akajifunze au akaulize kwanza wazazi wake kama hiyo ndiyo ndoa, labda atarudi amebadilika. Otherwise hakuna faida ya kuishi na mke wa ndoa anayekatalia tendo la ndoa, ni kujitafutia mateso bure. Ende kwao.
 
Jeeeeeeeeeezzzzz......Noname kumbe unajua kubembeleza hio...no wonder jamaa anafaudu sana!
Hapa hommie naona u do ze nidiful asap

afu apo kwen stalking nimecheeeeka hadi mbavu sina jamani una vituko sana wewe Noname....miss u
kubembeleza ni kawaida as long as it doesnt hurt anyone...

na vituko nimejifundishia humu ndani ya JF:D ... :rolleyes:
 
aaa kwani mwanamke hatakiwi kuwa na mood?
wewe mwanamme unatakiwa uweze kumsoma mkeo kiasi cha kwamba usidai tunda siku ambayo hayuko kwenye mood

wanawake huwa hawaombi tunda siku mr akiwa katika mood mbaya au anahisi kachoka
 
Jamani hili mi naona kila mwanaume analo,kwa nini pindi ikitokea mwandani wako akikunyima haki ya ndoa lazima kuwe na UGOMVI either wa chini chini au live na ikitokea ukanyimwa two times au zaidi hapo lazima useme kwa nini inakuwa hivi na moyoni ukiwaza huenda amepata mwingine?Je kama mwenzio hana hiyo hamu ya kufanya tendo la ndoa kwa nini huwezi muacha tu mpaka useme na kufikiria mengi namna hivyo?ni hoja tu yangu....

Mwanamke makini atahakikisha mumewe mara zote 'ametosheka' na vivyo hivyo kwa mwanaume makini. Ukiwa mbinafsi kwenye ndoa haya matatizo lazima yatatokea. Ni muhimu kujifunza kujitoa kwa mwenzi wako ndani ya ndoa kwa kadri unavyoweza.

Kuna tatizo pia kwa wanaume. Mara nyingi tunashindwa kuwandaa mapema wake zetu kwa 'mchezo'. Tukifika kitandani ndio ghafla mtu anaomba 'game'! Kumbe angeweza kuanza kuyatengeneza mazingira ya mchezo mapema zaidi na kusoma alama za nyakati mapema ili kuavoid disappointments uwanjani.
 
hapo kwenye red; unaweza kuthibitisha hilo? Ulishanijaribu mimi?

Kwenye blue: Unaponyimwa haki yako kama ulivosema, hupaswi kuidai?

Kwenye black: Umeolewa ili ukaimbe kwaya kwa mmeo?
duh hayo majibu tosha kabisa
 
Kuna tatizo pia kwa wanaume. Mara nyingi tunashindwa kuwandaa mapema wake zetu kwa 'mchezo'. Tukifika kitandani ndio ghafla mtu anaomba 'game'! Kumbe angeweza kuanza kuyatengeneza mazingira ya mchezo mapema zaidi na kusoma alama za nyakati mapema ili kuavoid disappointments uwanjani.

Mkuu mie nina mfano hai kabisa;(ma best friend) kidume unajituma kwa simu na msgs na zawadi mpaka wine; mchezo unapokaribia anakuwahi kitandani wewe unapofika kitandani yeye kishakoroma! Rafiki yangu ametoa notisi ya mwezi mmoja la sivyo anaoa mke mwingine; tunamsaidieje?
 
Today, 04:58 PM HUBERT MLIGO This message has been deleted by HUBERT MLIGO.

post_old.gif
Today, 05:02 PM HUBERT MLIGO This message has been deleted by HUBERT MLIGO.

Kuangaika kote kudelete msg kumbe ulitaka kuandika hiki tu hapa chini?

FL1, kumbe nawe dume?
 
Back
Top Bottom