Kwa kina kaka wote(wanaume)

aha kweli bana wiki 3 is too much... I was talking about one to 3 days.... that kind of woman is either very cold au anataka kukukomoa... u know what am saying?
Hehehe! Naona umeanza vitu vyako.

Ngoja nitafute dikshenare yangu. Hii kusoma mashule ya kata bana LOL!
 
kwani nilipokabidhiwa "niliazimwa" au "nilipewa"? Kama nilipewa, basi ni haki yangu..........! Hata nikipewa mara moja na kunyimwa ya pili (on the same day/night), lazima sababu pia niipate kwamba kwanini moja leo, na sio 2, 3, 4...... Sembuse siku nzima? Kwanini nisijue kinachoisibu sehemu ya mwili wangu? Hata kama ni vipele, si mimi wa kuweka dawa kama inahitajika? Mimi naona una lako bana.....!
akikuambia kuna jamaa kanifurumusha kwa mastaili ya ajabu ajabu,kanichubua?. Wewe kinachokusumbua ni mwili wako siyo? Basi kwa taarifa yako huo mwili unaosema wako jamaaaaaaa wanachezea kwa sana tu yaani daily(isipokuwa mkeo/mpenzio)sasa hapo utasemaje? Si ni mwili wako? Umeruhusu jamaa wakaumege?.............hii logic ya...mwili wangu inamatumizi yake.ukiimissuse,umekwisha.
 
Hapo ndipo huwa jukwaa hili linanifurahisha..sredi inawataka wanaume tu laikini kina FL1 na wadada wengeine wameisoma kana kwamba inawahusu na si okusoma tu na kujibu pia.Mmh.. jamani kwani nyie wanaume mnoba wadaku hivyo?
 
Yaani mke wako anakunyima tendo la ndoa?
Basi huyo si mkeo yaani bila sababu kama kuvuja alafu akunyime ati kachoka dah hii haiwezekani.
 
Thanks! Leo naona utakuwa umeamkia upande wa kushoto. Umerejea kwenye siasa zetu za ujamaa na kujitegemea.
anything that make ur day Chrispin.... nta amkia kushoto kila siku kama hivyo ndo unataka:rolleyes:

why do I have a feeling that some ppl are stalking me?? its called harassment...Jeeeeeeeeeeeeezzzzzzzzzzzzz
 
Hapo ndipo huwa jukwaa hili linanifurahisha..sredi inawataka wanaume tu laikini kina FL1 na wadada wengeine wameisoma kana kwamba inawahusu na si okusoma tu na kujibu pia.Mmh.. jamani kwani nyie wanaume mnoba wadaku hivyo?

Heri yako wewe hujaisoma na hujachangia kitu.

Natamani kweli nielewe umemaanisha nini hapo kwenye bold.
 
hivyo ndanything that make ur day Chrispin.... nta amkia kushoto kila siku kama o unataka:rolleyes:

why do I have a feeling that some ppl are stalking me?? its called harassment...Jeeeeeeeeeeeeezzzzzzzzzzzzz

Jeeeeeeeeeezzzzz......Noname kumbe unajua kubembeleza hio...no wonder jamaa anafaudu sana!
Hapa hommie naona u do ze nidiful asap

afu apo kwen stalking nimecheeeeka hadi mbavu sina jamani una vituko sana wewe Noname....miss u
 
Back
Top Bottom