Kwa kina dada tu; ingekuwa wewe ungefanyaje?

Aisee NIKIWA NIMESHIKA KAMERA MKONONI Ningeenda kuwasalimia hlf nakaa meza ya jirani kabisa na wao nampigia mkewake namwambia ninamaongezi na yy atafte mda tuonane. Then nanyanyuka naishia

mi naona bora kupiga kimya....ili kunusuru ndoa ya watu....na kuepusha uadui....

Ni wazo zuri lkn, kuna siku litabumbuluka na shosti akigundua kuwa ulikuwa unajua halafu umemtunzia siri mwanamume unafikiri itakiwaje?

Aisee NIKIWA NIMESHIKA KAMERA MKONONI Ningeenda kuwasalimia hlf nakaa meza ya jirani kabisa na wao nampigia mkewake namwambia ninamaongezi na yy atafte mda tuonane. Then nanyanyuka naishia

Nimeipenda hiyo; eeh mkionana unampa issue yote au ilikuwa show tu kwa wale cheaters?

Una shosti wako mpenzi; wote mmeolewa na mnaishi vizuri na waume zenu!
Kutokana na ukaribu wenu, waume zenu wamejikuta na ukaribu fulani.

Umepata safari ya kikazi nje ya mji, na umepata room katika hotel nzuri tu! Jioni umekaa kwenye balcony unaangalia chini kwenye garden unamuona mume wa shosti wako na msichana mwingine wakula dinner na mishumaa ikiwaka huku wanashikana mikono kwa mahaba! Moyo ukakulipuka; ukaamua kuchukua camera, akazoom na kuwapiga. Baadaye wakaamka na kuelekeanda ndani (hotelini).

Kumbuka mwanamume hajampa shosti wako reason ya kumdoubt! Maelewano yao ni mazuri tu, kama yalivyo ya kwako!

What is the right thing to do? Both morally and logically?

Acha ubaguzi bwana. Thread tamu hivi halafu unataka wachangie wanawake tu, haiwezekani!

Una shosti wako mpenzi; wote mmeolewa na mnaishi vizuri na waume zenu!
Kutokana na ukaribu wenu, waume zenu wamejikuta na ukaribu fulani.

Umepata safari ya kikazi nje ya mji, na umepata room katika hotel nzuri tu! Jioni umekaa kwenye balcony unaangalia chini kwenye garden unamuona mume wa shosti wako na msichana mwingine wakula dinner na mishumaa ikiwaka huku wanashikana mikono kwa mahaba! Moyo ukakulipuka; ukaamua kuchukua camera, akazoom na kuwapiga. Baadaye wakaamka na kuelekeanda ndani (hotelini).

Kumbuka mwanamume hajampa shosti wako reason ya kumdoubt! Maelewano yao ni mazuri tu, kama yalivyo ya kwako!

What is the right thing to do? Both morally and logically?

Ndio maana kule umasaini huwa wamasaai wanasema mwanamke ni wa kila mwanaume. Na hili lipo hata kwenye hisia za wanawake wenyewe. Mwanaume sio wako na wala huyo shosti wako hamna undugu wowote, mmekutana tu kimjini mjini, ghafla roho inakuuma utadhani ndio mumeo. Usikute akikutokea bila shaka utampa. Teteteteteteeeeeeeee! Nimekumbuka ule usemi kwamba wanawake wote mwalimu wao mmoja, tetteteeeeeeeee!

Wewe kaa kimya tu, mambo ya ngoswe muachie ngoswe mwenyewe. Unaweza ukamwambia shosti wako, akabanwa na mumewe akakutaja kuwa wewe ndiye ulotoa taarifa hiyo. Kweli watagombana lakini watakuja kuelewana. Kimbembe kitakuwa kwako bibie, wapi utaiweka sura yako? Maisha haya, unatakiwa kumind business zako tu, mlinde mumeo na ujilinde mwenyewe, mengine yaangalie na yapotezee.

Sorry niliuvua uume wangu nikauvaa uanamke, sasa nauvua uanamke naurudia uume wangu, nisije nikabadilika milele bure!

Nilichungulia tu, nasepA!

wanaadam tunapenda kujishughulisha na yasotuhusu.....una uhakika ulichoona ndicho!!!

hata kama ndicho

swali hapa una uhakika rafiki yako atafurahia wewe kujua jambo baya kuhusu mumewe????????

inawezekana huyo rafiki yako anajua mengi kuhusu mumewe but anatengeneza tu the perfect the image kwako
na kwa wengine.......unahisi unamsaidia kumbe ndo unaharibu kila kitu....atakuchukia kwa kugundua hilo....

Ndyoko naona umeshindwa kujizuia na umejibu kidume dume!

Naona huamini kuhusu urafiki! Haya jibu hili, una mshkaji wako; ameparamia mdada ambaye wewe unajua yuko HIV positive, je utamind business yako au utam-warn huyo mshikaji wako?

sasa ulipiga za nini?you can't eat ur cake and have it.....

Nilipiga ili nihakikishe, nilikuwa mbali so l wanted a closer look!
I don't have a cake, but a bomb! LOL

wanaadam tunapenda kujishughulisha na yasotuhusu.....una uhakika ulichoona ndicho!!!

Nilichokiona ni candlelight dinner, holding hands na kuingia ndani ya hotel! Ni information nzito! Swali ni what do l do with that information?

hata kama ndicho

swali hapa una uhakika rafiki yako atafurahia wewe kujua jambo baya kuhusu mumewe????????

inawezekana huyo rafiki yako anajua mengi kuhusu mumewe but anatengeneza tu the perfect the image kwako
na kwa wengine.......unahisi unamsaidia kumbe ndo unaharibu kila kitu....atakuchukia kwa kugundua hilo....
na akijaribu tu...mchuzi umeingia mende.

Tuma picha kwa EMS kwa mkewe na yeye mwenyewe hawatajua kama ni nani katuma lakini shoga yako atakuwa aware of type of husband she has. Uzuri si hajakuona. Hawezi jua nani katuma na itamsumbua kwani anaweza hata fikiri ni ijumaa wikienda. Afu andika meseji kuwa wewe ni jamaa wa huyo mdada na kama anataka kufa aendelee kutembea na demu wako.

Ila nakushauri hiyo siri usimwambie hata mumeo kwani atakushauri kiume ume; kwa nia ya kumlinda mshikaji.

peleka picha

ukimwambia,huyo rafiki yako atakutaja tu kwa mume wake,na urafiki wenu unaweza ukafa.mambo ya ndoa ni vizuri uyaache kama yalivyo.kama huyo bwana ana cheat ipo siku huyo mke atajua tu.au kama una uhakika,mwambie huyo bwana anavyofanya sivyo

Una shosti wako mpenzi; wote mmeolewa na mnaishi vizuri na waume zenu!
Kutokana na ukaribu wenu, waume zenu wamejikuta na ukaribu fulani.

Umepata safari ya kikazi nje ya mji, na umepata room katika hotel nzuri tu! Jioni umekaa kwenye balcony unaangalia chini kwenye garden unamuona mume wa shosti wako na msichana mwingine wakula dinner na mishumaa ikiwaka huku wanashikana mikono kwa mahaba! Moyo ukakulipuka; ukaamua kuchukua camera, akazoom na kuwapiga. Baadaye wakaamka na kuelekeanda ndani (hotelini).

Kumbuka mwanamume hajampa shosti wako reason ya kumdoubt! Maelewano yao ni mazuri tu, kama yalivyo ya kwako!

What is the right thing to do? Both morally and logically?

Morally... Unamfuata Shemejio na kumwambia hujapendezewa na kumuuliza sababu za msingi za yeye kufanya hivo... Kisha kumuomba aache mara moja.... Logically yeye na mkewe wanaishi vizuri (umesema hajampa sababu ya ku doubt); hakuna haja ya kumwambia rafikiyo; zaidi ya kumkoamalia shemeji huyo kukoma tabia hiyo....

Tuma picha kwa EMS kwa mkewe na yeye mwenyewe hawatajua kama ni nani katuma lakini shoga yako atakuwa aware of type of husband she has. Uzuri si hajakuona. Hawezi jua nani katuma na itamsumbua kwani anaweza hata fikiri ni ijumaa wikienda. Afu andika meseji kuwa wewe ni jamaa wa huyo mdada na kama anataka kufa aendelee kutembea na demu wako.

Ila nakushauri hiyo siri usimwambie hata mumeo kwani atakushauri kiume ume; kwa nia ya kumlinda mshikaji.

una uhakika gani hawakumuona?
labda na wao walijikausha tu but walimuona na wakahisi yeye hajawaona????

sasa ulipiga za nini?you can't eat ur cake and have it.....

Mie naona picha ni kama nguvu ya kumuonesha huyo bwana you have evidence.... Maana kumwambia shosti napo inategemea yeye temper yake iko vipi na kama yaweza vunja ndoa (sio worth it..)

Morally... Unamfuata Shemejio na kumwambia hujapendezewa na kumuuliza sababu za msingi za yeye kufanya hivo... Kisha kumuomba aache mara moja.... Logically yeye na mkewe wanaishi vizuri (umesema hajampa sababu ya ku doubt); hakuna haja ya kumwambia rafikiyo; zaidi ya kumkoamalia shemeji huyo kukoma tabia hiyo....

haya mambo inategemeana sana mtu mwenyewe kuna vidume
ukitaka kuharibu maisha yako,basi jaribu kum face na ishu kama hizo....trust me...

anaweza kugeuza maneno mpaka ukalia....

1.mfano we mbona hukuja kunisalimia?
2.mimi nilikuona upo na mwanaume pia nikauchuna...
nimweleze mumeo na wewe?
(hata kama ni uwongo)

kwanza najua unanitaka siku nyingi ndo maana umeshikwa na wivu kuniona na mtu mwingine

nitamwambia waifu unavyonirembulia na kutikisa wowowo unaponiona..

haya go ahead and telll her......lol

Back
Top Bottom