Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,530
- 13,467
Una shosti wako mpenzi; wote mmeolewa na mnaishi vizuri na waume zenu!
Kutokana na ukaribu wenu, waume zenu wamejikuta na ukaribu fulani.
Umepata safari ya kikazi nje ya mji, na umepata room katika hotel nzuri tu! Jioni umekaa kwenye balcony unaangalia chini kwenye garden unamuona mume wa shosti wako na msichana mwingine wakula dinner na mishumaa ikiwaka huku wanashikana mikono kwa mahaba! Moyo ukakulipuka; ukaamua kuchukua camera, akazoom na kuwapiga. Baadaye wakaamka na kuelekeanda ndani (hotelini).
Kumbuka mwanamume hajampa shosti wako reason ya kumdoubt! Maelewano yao ni mazuri tu, kama yalivyo ya kwako!
What is the right thing to do? Both morally and logically?