Kwa kawaida mama anaanza hedhi muda gani baada ya kujifungua?

kama unamnyonyesha mtoto ni normal kabisa kuna wengine hukaa hata zaidi ya mwaka. lakini usisahau kutumia kinga unaweza kuconceive pia
 
kama unamnyonyesha mtoto ni kawaida kuna wanaokaa hata zaidi ya mwaka, lakini usisahau kutumia kinga kwani unaweza kuconceive.
 
kama unamnyonyesha mtoto ni normal kabisa kuna wengine hukaa hata zaidi ya mwaka. lakini usisahau kutumia kinga unaweza kuconceive pia

Ahsante mom na hapo kwenye kinga ndio penye tatizo maana huwa natumia calenda sasa inaniwia vigumu sana .
 
ni ngumu sana kutumia kalenda kwenye hiyo hali dear coz hujui cku wala saa....
 
Back
Top Bottom