Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 12,998
- 6,659
Hata wewe Mkuu mbona tunajua upo UAMSHO na siyo Siri tenaMkuu mbona maneno yako hayana uhusiano na Uamsho nadhani huijui Zanzibar, Zanzibar nzima ni Uamsho.
Hata wewe Mkuu mbona tunajua upo UAMSHO na siyo Siri tenaMkuu mbona maneno yako hayana uhusiano na Uamsho nadhani huijui Zanzibar, Zanzibar nzima ni Uamsho.
Mfuga ndevu vipi mbona lipumba hafugi uchafu mambo ya western hayohata mimi huku bara ni mfuaasi wa UAMSHO, na wazanzibar wote ni UAMSHO nawatakieni mapambano msiwe na woga mpaka muipate nchi yenu
Mfuga ndevu vipi mbona lipumba hafugi uchafu mambo ya western hayo
Mfuga ndevu vipi mbona lipumba hafugi uchafu mambo ya western hayo
Mfuga ndevu vipi mbona lipumba hafugi uchafu mambo ya western hayo
acha chuki zako.
Makanisa ya CHADEMA!Sasa ni rasmi CUF ndiyo waliochoma makanisa...
Wapi na wapi mlinzi na aliyekuwa mlinzi. JF inazidi kuelekea kwenye mipasho.ALIYEKUWA Mlinziwa Makamu wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Maalim Seif Sharif Hamad, anadaiwa kuwa miongoni mwa wafuasi wa kikundi cha Uamsho visiwani humu