Kwa kasi hii nani wa kuizuia cdm

Mbona Njia iko wazi kwa M4C Magamba wakiamka watakuta hawana mtu amebaki Nape pekee. KUWA CCM kunataka Moyo wa Jiwe
 
Mkirua haujambo,
habari za siku
ulijichimbia wapi mkuu.

Mamndenyi sijambo my beloved sister, nilikuwa nicharurana na wazenji kwenye politiki maana naona wakimaliza makanisa wataanza kujilipua as usual...Lete stori mkuu wangu...

 
Walitumia Bakwata haikufaa! Wakatumia Green Guard haikulipa! Sasa wanatumia Uamsho!

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom