Kwa kasi hii EL anagombea cheo gani KKKT??

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Nahamasika sana hasa pale napo muona Edward Lowassa pale ambapo amekuwa kinara wa shughuli za kanisa hasa katika ufunguzi,kuwapandisha maasikofu vyeo,ujenzi wa makanisa mgeni rasimi amekuwa EL,Swali langu je Edward Lowassa ana nafasi gani katika haya makanisa??kwasiku zakaribuni?Je kuna uhusiano kati ya siasa za makanisani na za nje ya kanisa je unaweza kuzileta kwenye siasa za kawaida??Je kama nihivyo ataweza kui shape image yake kwakutumia makanisa??kwanini kama lengo ni hilo asiende kwenye mikutano ya siasa nakujisafisha kwa wananchi au akafanya CCM tour nchi nzima nakuhubiri mazuri yake na nakukana yale yote waliyo msingizia?kwani ili aji nyoshee njia ya 2015 hana budi kufanya haya kwa wananchi!!Au CCM hawamruhusu kusema chochote kama siyo msemaji??Maana sioni yeye kuhangaika kwenye masinagogi!!
 
NATAFUTA HURUMA MAKANISANI HUYO, ILI AONEKANE NI MCHA MUNGU NA UFISADI ANASINGIZIWA hii ni aina moja wpo ya udini wa huyu mzee mnafiki anayetaka uraisi kwa nguvu zoote!
 
Anaalikwa na viongozi wa dini akawe mgeni rasmi kwenye shughuli zao. Mimi sioni shida yeye kushiriki kwenye hizo shughuli za kikanisa maadam taratibu za kanisa husika zimefuatwa. Ila napata shida anapotumia majukwaa ya kanisa kutoa kauli za kisiasa zinazolenga kuonesha udhaifu wa serikali ya chama tawala ambacho yeye pia ni kiongozi wake wa ngazi za juu. Msamiati sahihi ya hiki anachofanya ni UNAFIKI.
 
anaalikwa na viongozi wa dini akawe mgeni rasmi kwenye shughuli zao. Mimi sioni shida yeye kushiriki kwenye hizo shughuli za kikanisa maadam taratibu za kanisa husika zimefuatwa. Ila napata shida anapotumia majukwaa ya kanisa kutoa kauli za kisiasa zinazolenga kuonesha udhaifu wa serikali ya chama tawala ambacho yeye pia ni kiongozi wake wa ngazi za juu. Msamiati sahihi ya hiki anachofanya ni unafiki.
hujui tuu mkuu huyu jamaa anakundi kubwa kila sehemu na anawapambe nchi nzima ikiwemo makanisani, msikitini, usalama, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, waandishi wa habari, hapa jf n.k na wote hao watu wanalipwa wanapofanya kazi yake, nguvu ya huyu jamaa ni kubwa kuliko hata ya jk.
Kinachoendelea ndani ya ccm kushindwa kumdhibiti ni ukweli wamezidiwa hata nape anajua hilo.
Jiulize nguvu zoote anazotumia ni kwa manufaa ya nani!??
 
NATAFUTA HURUMA MAKANISANI HUYO, ILI AONEKANE NI MCHA MUNGU NA UFISADI ANASINGIZIWA hii ni aina moja wpo ya udini wa huyu mzee mnafiki anayetaka uraisi kwa nguvu zoote!

Edward Ngoyai Lowassa is misconceived to believe that the clerics still wield power of persuasion to the extent that they can just whip the worshippers and follow them blindly. What he forgets is that most of the targetted worshippers are the victims of his massive looting that has characterized his entire stint in the public service.

Ngoyai, you can fool some people sometimes but you cannot fool all the people all the time! Not any more! Not with the current demography!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom