Enzi zetu sisi, mwanaume mzuri ni yule mwenye kufanyakazi au mwenye uwezo wa kulima ekari kadhaa shambani. Lakini siku hizi mwanaume mzuri ni yule mwenye uwezo wa kushindana na wanawake kujipodoa mbele ya kioo.
mi sura yangu mbaya na pesa sina lakini kuna mwanamke mkali kichizi anataka nimuoe...kila tukikutana nikimpa yule cobra pale chini anapiga kelele 'nioe, nioe, nioe handsome wangu'..kumbe pamoja na ubaya wangu mm handsome duh!
si rizki hawa wanaonekanakaka,
kama unamuonekano wenye viwango kama vya hawa ktk picha basi fahamu kuwa wewe ni handsome.
Kama huna muonekano huu lkn account yako ina kiasi cha kutosha kumuhonga mwanamke PRADO, basi usihuzunike sana maana hata wewe ni handsome.
kama huna muonekano kama wa hawa ktk picha na huna pesa basi wewe ni ugly man.
NB:nafanya tu kama nyie wakaka mnavyoweka picha za wadada hapa na kutoa mitazamo yenu ambayo mingine inakera hivyo kwa atakayekereka anisamehe bure.
week-end njema kwa mahandsome popote mlipo,
kwa ma ugly men fanyeni kazi kwa bidii.
niambie ww ni yupi kati ya hao,ili nijipange sawasawa:biggrin1:
Mimi sina kwalifikesheni yeyote kati ya hizo ulizotaja, lakin ni mtaalamu wa kwenda uvinza na ni subscriber mzuri tu wa ule mtandao wetu,
vp stil am ugly ??? :msela::bange:
Umejuaje kaka??
Mimi sina kwalifikesheni yeyote kati ya hizo ulizotaja, lakin ni mtaalamu wa kwenda uvinza na ni subscriber mzuri tu wa ule mtandao wetu,
vp stil am ugly ??? :msela::bange: