kwa kaka zangu wa JF....

kaka,
kama unamuonekano wenye viwango kama vya hawa ktk picha basi fahamu kuwa wewe ni handsome.

Kama huna muonekano huu lkn account yako ina kiasi cha kutosha kumuhonga mwanamke PRADO, basi usihuzunike sana maana hata wewe ni handsome.

kama huna muonekano kama wa hawa ktk picha na huna pesa basi wewe ni ugly man.

NB:nafanya tu kama nyie wakaka mnavyoweka picha za wadada hapa na kutoa mitazamo yenu ambayo mingine inakera hivyo kwa atakayekereka anisamehe bure.

week-end njema kwa mahandsome popote mlipo,
kwa ma ugly men fanyeni kazi kwa bidii.

2dalvud.jpg



rich.jpg







216912_159500157443742_120677067992718_356213_7536320_n.jpg

Ama kweli uzuri ni subjective. na anayeweka hereni sikioni naye ni handsome au beautiful?
 
Mwanaume muonekano wa nje:
-awe na msuli kidogo
-mrefu wa wastani
-mtanashati
-Vijisenti sio km vya chenge

Muonekano wa ndani:
-Shaft ya nguvu
-Uwezo kwenye 6 x 6

Cheusi ukimuona huyo basi rusha mikono hewani umeshinda achana na wavaa hereni
 
cheusiii-iiiiiiiii!!??? Mi ni presentable, pia napiga MUTI balaaa!! Vichenge ninavyo vya kibingwa!! Ni PM ule mifaida ya ukweli. Utasifiwa na wenzako. Pesa utapata na MUTI utapigwa mpaka uridhike tu. Sina utani na maanisha kama man united.
 
Ugly sounds masculine......handsome sounds feminine (sharobaro) I prefer ugly 2b man.
 
Hao wapaka poda wako wanaweza kupata mabwana coz wamejipodoa,mwanaume hasifiwi sura bana
 
mwanaume kuwa napesa ni sawa na dem kuwa mzuri pesa ndio kila kitu ..kama huamini angalia pesa inavyo wahandsamisha watu..na mwanaumekusifiwa kuwa ni mzuri huku kwetu sio sifa nzuri
 
Mhhhh Cheusi leo umenitolea mpya,

Basi ungesema wale wenye mwonekano kama hawa ila accounti iko kaputi basi beautiful men ila wenye sura kama sizizo na direction (scalar quantity badala ya vector) ndi handsome wa ukweli!!!!

Ubarikiwe sana kwa kuwa kila mtu umemtendea haki!!
 
hao ni handsome au ndio type ya watu unapenda??vipi mtu awe handsome lakini kitandani kapa!tumwiteje
 
kwa wakatii huu unasema hivyo, mlivyo na roho nyepesi ukisimuliwa tu even ni joks unaanza kuweka fikra za kutaka mwenye namna gani ya ukweli mimi mawapaga tuu ila wakija na vyeti vyao na ruhusa kutoka kwa manzi wao (its official true)
 
Mimi sio handsome km hao ila nina sifa moja kuu:

Kila demu ninaye mgonga huning'ng'ania tuwe pamoja. Na kila ninayemgonga lazima atamke lile neno " nakwenda haja ndogooooo".
 
38608d1237973316-some-most-handsome-black-men-romany-20malco-sgg-066554.jpg


mie nimempenda huyu........................:A S-rose::A S-rose::A S-rose:
 
Back
Top Bottom