Kwa Jina la CCM: Mbunge wa Mtera Lusinde aporomosha matusi Arumeru kumwombea kura Siyoi

Inatisha inasikitisha sana.
Hiyo ni laana na itawatafuna maisha yao yote.

sisiem na viongozi wake wote ni JANGA kubwa la umaskini kwa Taifa letu haina haja hata kidogo ya hiki chama ya kuendelea kusikika hapa Nchini.

Ila nina Imani ya kutosha ya kwmb mwisho wao umetimia kbs!
Sasa viongozi watu na akili zao hawana hata haya na lugha chafu wanayotumia majukwaani.

Mwisho wa umefika!
 
Ndugu wana JF,Natambua kuwa mtandao wa JF unatembelewa na watu wa aina mbalimbali wakiwemo watoto,wazee,vijana,kina Mama,Kina Baba n.k.Matusi aliyoyatamka Mh Lusinde kuyaandika hapa kwakweli ni aobu tupu.Ninaomba ni ya upload kwenye You Tube,kwa yeyote atakaye hitaji kusikiliza atembelee CCM Lusinde Matusi
Mbona hamna kitu mkuu?....Ama bado haujayaupload nini?

CCM Lusinde Matusi - YouTube
 
wekeni hiyo link ya hiyo video hapa.. Cnt comment anythin kabla cijaona..
 
Yawezekana matusi ni makubwa mno hivyo anaogopa watoto watayafuata YouTube!!
Upload watu wasikie ujiunga ...

Kivipi wakati waliokuwepo wanadai watoto walikuwepo kwenye mkutano na waliyasikia matuzi live?
 
Ndugu wana JF,Natambua kuwa mtandao wa JF unatembelewa na watu wa aina mbalimbali wakiwemo watoto,wazee,vijana,kina Mama,Kina Baba n.k.Matusi aliyoyatamka Mh Lusinde kuyaandika hapa kwakweli ni aobu tupu.Ninaomba ni ya upload kwenye You Tube,kwa yeyote atakaye hitaji kusikiliza atembelee CCM Lusinde Matusi

Acha kutuzuga wewe. Kama kweli video ipo si utoe link? Hakuna kitu kinaitwa CCM Luside Matusi huko YouTube

There are currently 84 users browsing this thread. (20 members and 64 guests)

Aisee kuna watu wanashangaza hapa. Wanaendelea kuchangia kwa jzba na kuamini kilicholetwa hapa ni ukweli. Huyu jamaa ni mpuuzi, kaanzisha mada ya kwanza. Kashindwa kuleta ushahidi, kaikimbia mada yake mwenyewe then akaja kuanzisha hii. Nayo kashindwa kuweka ushahidi. Hivi nani anakuwa punguani? Yule anayeendelea kuamini ujinga bila ushahidi si ndiye anayedhihirisha kuwa ndiye punguani? Hakuna video yenye matusi hayo itakayowekwa hapa. Labda aweke audio ya sauti ambayo atakuwa amejirekodi yeye mwenyewe.
 
Mbona mnafura kama vile hammujui Lusinde.

Hakuna aliyefura hapa. Ni kweli Lusinde tunamjua kuwa ni domo kaya. Lakini haya yaliyoandikwa hapa yamezidi, hivi huoni mkuu? Au tunataka kulazimisha kwa sababu ya upinzani wa kijinga? Kwa nini tujilazimishe kuamini upuuzi kwa sababu ya ushabiki wa chama? Hiyo video ina gharama gani kuiweka hapa? Basi atuweke hata hiyo link tu ili tuhangaike nayo wenyewe. Ameshindwa, tukae kimya mkuu?
 
Huwezi kumpangia wakati gani aiweke wewe endelea na shughuri zako akiiweka utaikuta, hata hivyo aweke asiweke haitabadili tabia ya Lusinde wala matokeo ya Arumeru. Inawezekana pia na utaalamu wa kuiweka unasumbua au anasubiri kina Mwigulu na watu kama nyie mtoe mapovu ndipo awa prove failure you never know so stay calm mapovu hayatakusaidia chochote.
 
Mjinga huamini kila neno. Ndivyo ulivyo, mbona unamtetea kwa hoja dhaifu kiasi hiki. Kama ameshindwa kuiweka basi atutajie hata hiyo link tu mkuu, mada hii ameiweka hapa tangu jana. Tuache aina hii ya ushabiki ndugu yangu.
 
Huna hoja umeambiwa CD ziko mitaani yeye kashindwa ku upload wewe unaagiza uletewe kama chipsi tena kwa wakati unaotaka mwenyewe, ujinga huo.
 
Huna hoja umeambiwa CD ziko mitaani yeye kashindwa ku upload wewe unaagiza uletewe kama chipsi tena kwa wakati unaotaka mwenyewe, ujinga huo.

Aaa! Sawa bwana, CD zinagaiwa. Acha tusubiri hayo matusi. Nadhani kipimo cha ujinga kinaonyesha wewe uko juu zaidi. Kwa sababu ya kiwango chako hiki kikubwa kabisa cha ujinga, unataka niamini kila kinachowekwa hapa JF hata bila ushahidi?
 
Mkuu huwezi kupata ile clip ya Mary Nagu akisema "mkimchagua mpinzani tutachelewesha chelewesha miradi?"
ile ni muhimu sana, nataka nimpandishe kizimbani kwa kucheza na kodi zetu!
 
Hoja za matusi zimebadilika tena hizo CD zipo mitaa gani nielekezeni nikanunue.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom