Kwa Jina la CCM: Mbunge wa Mtera Lusinde aporomosha matusi Arumeru kumwombea kura Siyoi

BIG X

JF-Expert Member
Nov 4, 2011
777
212
Ndugu wana JF,Natambua kuwa mtandao wa JF unatembelewa na watu wa aina mbalimbali wakiwemo watoto,wazee,vijana,kina Mama,Kina Baba n.k.Matusi aliyoyatamka Mh Lusinde kuyaandika hapa kwakweli ni aobu tupu. Kwa yeyote atakaye hitaji kusikiliza atembelee CCM Lusinde Matusi

Gonga hapa Mh. Livingstone Lusinde akimwaga Sera za CCM Arumeru - YouTube

Sijapata ona mbunge kilaza kama huyu. Kama sio bangi mi sijui......... loh!!!!

Haya bwana!
 
Last edited by a moderator:
Ndugu wana JF,Natambua kuwa mtandao wa JF unatembelewa na watu wa aina mbalimbali wakiwemo watoto,wazee,vijana,kina Mama,Kina Baba n.k.Matusi aliyoyatamka Mh Lusinde kuyaandika hapa kwakweli ni aobu tupu.Ninaomba ni ya upload kwenye You Tube,kwa yeyote atakaye hitaji kusikiliza atembelee CCM Lusinde Matusi

Mkuu fanya fasta, na link itipie hapa JF ili kila mwenye shida asihangaike. Wangekuwa wao wametukanwa wangeshaiweka saizi na maneno kibao.

Lusinde hopeless kabisa.
 
kwa nini usitupie humu jf ili atakayesoma awe wa rika yeyote aone jinsi gani watu tunaoamua kuwapa dhamana ya kuwa viongozi wanavyovurunda
 
Ndugu wana JF nilihudhuria kampeni za CCM Usa-river jana jioni kweli niliyoyashuhudia yalinishangaza sana nadhani ni kampeni ya kwanza wananchi kushuhudia wapiga debe wa CCM Lusinde,Kepteni Komba,Mwigulu na Majimarefu kutumiwa muda wote wa kampeni kuwatukana matusi ya nguoni viongozi wa chadema na mgombea wao huku mgombea Sioi akipewa dakika saba tu kujieleza kwa wananchi na kuomba kura.

Alieanza kuporomosha matusi ambayo mengine hayaandikiki ni Livingstone Lusinde ambaye aliwaeleza wananchi walihudhuiria mkutano huo kuwa atajibu mapigo hapo hapo.

Baadhi ya matusi aliyoyatoa
1.Kuhusu tuhuma za ushoga/kutoaboa sikio zinazomwandama Sioi Sumari, Lusinde alidai kuwa hata Baba wa Dk.Slaa (Katibu Mkuu wa Chadema) aitwaye Mzee Peter Slaa ametoboa masikio yake hivyo na yeye ni shoga na pia Mzee Burito Nyerere ambaye ni Baba wa Julius Nyererre na Babua wa Kampeni Meneja wa CDM Vincent Nyerere naye alikuwa ametoboa masiko yake hivyo naye ni shoga."Hawa chadema ni wajinga yaani wananchi nawaambia wanajitukana wenyewe wazee wao walikuwa wametoboa masiko kwahiyo ni mashoga!

2.Lusinde aliendelea:Slaa anavaa magwanda akitembea kitumbo mbele kama amejinyea wananchi nawaambia huyo Slaa ni mshamba na ***** mkubwa.

3>Godbless Lema alikwenda alijipeleka magereza kumfuata basha wake na alichofanyiwa huko magereza tunakifahamu "analiwa"

4.Aliendelea Lusinde:Mkimwona mwanamke anasikia kichefu chefu ujue keshatiwa mimba,Chadema tayari wanasikia kichefuchefu Mbowe katiwa mimba,Slaa katiwa Mimba,Nyerere katiwa mimba,Nassari mimba na Lema mimba.

5.Akaongeza:Kwanza wabunge wao wote wamepigwa chale matakoni na profesa majimarefu ambaye aliwasadia kupata ubunge (kuwaganga)

Na Komba akamalizia kwa kueleza kuwa Chadema wana kiherehere kama nywele ukizaliwa zinakuwa kichwani,baada ya muda zinaota kidevuni,makwapani na "huku chini" akionyesha kwa ishara sehemu zake za siri.

Ndugu zangu kamepni ilihudhuriwa na watoto wadogo,vijana wannawake,wazee na wengine walihudhuria na ndugu zao hivyo lugha iliyotumiwa na makada hao wa CCM ilikuwa si ya kistaarabu na baadhi ya viongozi wa cCM hawakupendezwa na lugha hasa ya Lusinde.

My take:Inawezekana Lusinde ametumwa na mahasimu wa Sioi azungume hovyo ili ahajumu kampeni yake?Je kama kweli nani atakuwa amemtuma?

Mambo yalikuwa mengi lakini hayo ni kwa kifupi sana.
 
Duh! unbelievable.
 
Bado wanaendelea na hiyo familia ya Nyerere ?Jamani, Tendwa upo wapi?Haya matusi hayasameheki kabisa!!
Hivi how old is Lusinde?
 
kama hizi ndio politics zenyewe daah hii ni hatari,hiyo ni jana au leo? cdm nawashaur wasijibu haya matusi kama wanavyodai wameanza na mungu basi wamalize na mungu!
 
Back
Top Bottom