Kwa jina hii ya katiba mimi nitakosoa milele na milele....

mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
5,581
11,658
Tanzania ni jina ambalo limetokana na nchi mbili yani zanzibar na tanganyika ( kwasasa tanganyika wanatumia sana jina la ubatizo yani tanzania bara). leo nataka tujadili jina ambalo walipendekeza wazee wetu la umoja wa tanzania yani JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, kweli kuna usahihi hapa na kwanini awakusema.

1.jamhuri ya muungano ya tanzania.
2.jamhuri ya muungano wa tanganyika na zanzibar.
3.jamhuri ya muungano ya watu wa zanzibar na tanganyika.
Binafsi jina la jamhuri ya muungano wa tanzania linamakosa kimaana.

wewe je jina jamhuri ya muungano wa tanzania lipo sahihi....busara yako inaitajika katika hii

Wakati wa katiba inayopendekezwa niliongea hii la jina jumhuri ya muungano wa tanzania kuwa linamakosa wakanisifu tu lakini sijaona chochote kwenye mabadiliko

KATIBA YA JAMURI YA MUNGANO WA TANZANIA.JPG
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom