kwa huyu maghembe,tusubiri tu njaa kali!

mutisya mutambu

JF-Expert Member
Nov 21, 2010
208
82
baraza ametangaza,lakini kumpa huyu maghembe wizara ya chakula,tusubiri njaa tu itakuja,
huko alikotoka kwenye elimu amechakachua mambo,sasa uchakachzi unahamia kwenye
wizara ya misosi.si mnakumbuka kipindi chake la saba walifaulu na kufeli nusu kwa nusu,
matokeo mabaya 4 na 6,bado mengine mengi tu mabovu.tusubiri njaa tu jamani,actually yule babu(wasira) alifaa kwenye wizara ya kilimo na chakula si huyu maghembe,angetupwa
nje tu kama wenzake kina mwakyusa
 
Back
Top Bottom