Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,933
- 1,294
Eti kadai mkichagua mpinzani Arumeru,miradi ya maendeleo itakwamishwa na wao kwa makusudi! Siasa gani hizo?
Source: ITV
Source: ITV
NgerejaBARAZA LA MAWAZIRI
(serikali ya JK)
1. Wassira
2. Merry Nagu
3.
Eti kadai mkichagua mpinzani Arumeru,miradi ya maendeleo itakwamishwa na wao kwa makusudi! Siasa gani hizo? Source itv.
Eti kadai mkichagua mpinzani Arumeru,miradi ya maendeleo itakwamishwa na wao kwa makusudi! Siasa gani hizo? Source itv.
ukiwa ccm unaweza ukawa chizi na bado ukawa na hadhi ya 'Dokta'
Mkuu ccm ndio tatizo la nchi hii!!Kweli serikali yetu
ina laana
kila waziri wa jk
anaongea pumba.
Alianza mkapa kwa
kutukana akafata
wasira na sasa nagu
hujaweka wabunge
wao kazi yao kuongea
urojo 2. Mmesha
laaniwa na bado.
Wewe ni she/he kama ni she nakusamehe kwani yawezekana ni wakati wako kwenda kwenye apolo kama ni he basi unaiga USB port kwa kupenda kuingiziwa device.Wivu tuuu unawasumbua mwaacheni mama yetu!!