Kwa hilo Nagu kachemka!

Wewe ni she/he kama ni she nakusamehe kwani yawezekana ni wakati wako kwenda kwenye apolo kama ni he basi unaiga USB port kwa kupenda kuingiziwa device.

MSAMEHE HUYU MAMA Eeeee MUNGU...hUENDA ANASHIRIKI SANA KWENYE MATENDO YA KIDUNIA NA YAMEMJAZA SANA MOYO WAKE...AMEN
 
Hawa jamaa wabaya sasa kama walikuwa hawamtaki Siyoi agombee ubunge si wangemwambia tu Siyoi achomoe jina lake mapema kuliko kumfanyia vituko namna hii!! Ningekuwa Siyoi, siku ya kufunga kampeni zangu ningeutangazia umma wa watanziani kuwa najitoa kugombea ubunge na kuhimiza wana Arumeru wampe kura zote Nassari.
 
Mungu umsamehe huyu mama,,,,,,,,,,............................
 
Eti kadai mkichagua mpinzani Arumeru,miradi ya maendeleo itakwamishwa na wao kwa makusudi! Siasa gani hizo? Source itv.

Mimi J.M.K mkuu wa kaya ya J.M.T,ndugu zangu mwaka 2012 dunia yako,chaguo lako,chagua nchi yako kua na amani,chagua kujiepusha na vurugu...kazi kweli kweli...mchagueni Sioi mumfute machozi,na mumfurahishe rais.....teh teh teh mkichagua upinzani Arumeru,miradi ya maendeleo itakwamishwa!!hv ndugu zangu tuna viongozi au tuna genge la viongozi matapeli wanaotuona watanzania wengine kama wajinga wa kutupwa na wao ndio wenye mamlaka yote na nchi hii...maisha yako juu badala ya kujadili jinsi ya kuleta unafuu wa maisha na maendeleo kwa wananchi,wao wanatuchora na kutuona kama vikatuni fulani,tena wa***** wa kutupwa!!tafakari
 
Huyu mama ametia kinyaa sana. Mimi sijapata jibu hivi wanapoongea hawajui kama kuna media pale? Sasa kiburi wanapata wapi kusema maneno ya kish..nz namna hiyo? Utasikia nae kesho anasema alikua 'anatania'. Shame on you MAGAMBA
 
Wewe ni she/he kama ni she nakusamehe kwani yawezekana ni wakati wako kwenda kwenye apolo kama ni he basi unaiga USB port kwa kupenda kuingiziwa device.

Ni PM tu nije nikugonge vya ukweli uache na hao vinuka mkojo!
 
Halafu tume ya uchaguzi imekaa kimya wananchi wanatishiwa kunyimwa haki zao wakichagua wapinzani!
 
Eti kadai mkichagua mpinzani Arumeru,miradi ya maendeleo itakwamishwa na wao kwa makusudi! Siasa gani hizo? Source itv.
Kumbe maendeleo yanakwamishwa makusudi maeneo yote ya upinzani. Nadhani counter attack yake ni kuanza kuhimiza wananchi wote wasiounga mkono CCM wasilipe kodi. Mbinu kama hizi zilitumika kumdhoofisha mkoloni hadi akasalimu amri. Nadhani kwa vile tuna ushahidi huu ni vizuri kugoma kulipa kodi kisiri siri na wazi wazi kulingana na mazingira.
 
CCM Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!
 
Huyu mama hana mpya. kwani jimbo lilipokuwa kwa CCM miaka 50 ya uhuru, wameleta maendeleo gani?
 
Umesahau muongeaji pumba mwingine Mh L Lusinde.nchi hii inakwenda wapi? Na huyo Mh Raisi anasikia huu uduvi toka kwa mawaziri wake? Au wameamua kumchafulia makusudi?
 
Siamini kua katamka hivo wazi kabisa kweny TV... Labda kama ana Kichaa....
AshaDii, kama kutamka maneno kama hayo ni uthibitisho wa ukichaa wake, nani huko CCM hana kichaa? Mbona kila siku wanatoka na jipya na wapo watu wanawapigia makofi hadi huku JF, sijui hao nao tuwaiteje! Eti wananchi wa Arumeru watozwe kodi halafu wahujumiwe kimaendeleo na serikali iliyoko madarakani, kisa? Wametumia uhuru wao na haki yao ya kumchagua mwakilishi wamtakaye!
 
Eti kadai mkichagua mpinzani Arumeru,miradi ya maendeleo itakwamishwa na wao kwa makusudi! Siasa gani hizo? Source itv.

ukiwa ccm akili huwa inahamia kwenye masaburi.Huyu mama alirithi jimbo la sumaye ambaye alishatoa kauli kama hyo kwenye kampeni za mwaka 2000.Huyu mama eti ni dokta,basi pale hakuna kichwa kuna kifuù cha nazi.Mnakumbuka sakata lake na kafulila bungeni? Dr.JK NAAMINI KUNA WATU WA KUKUFIKISHIA UJUMBE HUU,hawa mawaziri ni mzigo kwako
 
Kweli serikali yetu
ina laana
kila waziri wa jk
anaongea pumba.
Alianza mkapa kwa
kutukana akafata
wasira na sasa nagu
hujaweka wabunge
wao kazi yao kuongea
urojo 2. Mmesha
laaniwa na bado.

Tunasubiri pumba za mama kilango,simbachawene,selukamba,makamba,sitta,nape coz hao ndiyo waliobaki!kila anayekuja anachukua aibu yake
 
Wivu tuuu unawasumbua mwaacheni mama yetu!!

hASA WIVU GANI HAPO TENA, hivi hujaona/kusikia kituko alichosema mama yako Nagu???...kama unakurupuka na kutetea hovyo basi wewe una matatizo tena makubwa sana. Hata kama nia ni kupata ushindi lakini huwezi kusema kuwa endapo kama mtamchagua mtu wa upinzani basi hakuna miradi itakayotekelezwa na serikali...hii haifai hata kidogo...Ni viongozi wajinga, wapotofu, wenye hila na ubinafsi ndio wanaoweza kusema maneno haya yenye uchafu hata kusema.
 
Hawa jamaa wabaya sasa kama walikuwa hawamtaki Siyoi agombee ubunge si wangemwambia tu Siyoi achomoe jina lake mapema kuliko kumfanyia vituko namna hii!! Ningekuwa Siyoi, siku ya kufunga kampeni zangu ningeutangazia umma wa watanziani kuwa najitoa kugombea ubunge na kuhimiza wana Arumeru wampe kura zote Nassari.

Mkuu mpigakelele hata sioi mwenyewe amepoteza comfo kabisa nilikuwa na mwangalia kwenye kampeni leo anadai eti wapiga kura watumie busara wasipige kura za hasira yametoka wapi tena haya?
Msemo wa kimeru!Jamuuma kunu Jirundiwaa!
 
:lock1: wanatapatapa.... hata kule uvinza walisema wakichagua magamba watejengewa barabara kana kwamba hiyo pesa ni ya chama!! ama kweli sasa wanaonyesha jinsi gani wametota
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom