Kwa hili waziri wa nishati na madini hakuwa sawa

saliel

Member
Apr 11, 2011
84
18
Bungeni leo asubuhi waziri akijibu swali la nyiongeza alilouliza Mh. Tundu lisu alisema kuwa co kweli kwamba japani wamefunga vinu vyao vya umeme vinavyoengeshwa kwa nguvu za nuclear...na pia ujerumani haina mpango wa kuvifunga vinu vyake vya umeme vya nuclear..
1 kwa taarifa za DW ujerumani inaompango wa kuvifunga vinu vyake vya Nuclear mpango ambao ulipitishwa na bunge la ujerumani hii ilitokana na ma2kio ya japani..ambapo asilimia kubwa ya wajerumani waliliunga mkono pendekezo hilo. Ila kwanza wanatafuta njia mbadala ya kupata umeme wa uhakika ambao hautakua na madhara.source DW swahili.
Kutokana na sababu hizo wataalmu wa maswala ya Nuclear wako kwenye utafiwa wa kuya2mia madini ya uranium kwa ajili ya zalishia mafuta ambayo yatakuwa na uwezo wa ku2mika kama source ya nishati. HIVYO BASI SOKO LA URANIUM LITAKUWA PALE PALE HATA VINU VIKIFUNGWA.
NA HILI NDILO JIBU AMBALO MH. WAZIRI ALITAKIWA KUMPATIA MBUNGE NA SI KEJELI KAMA ALIVYOLIJIBU LEO BUNGENI
CTAKI KUAMINI KUWA WAZIRI WE2 AMESHAKUWA MWANASIASA GHAFLA HIVI. NIHAYO 2 WAUNGWANA
 
Huu ni *PachikatusiLaSizeyaKati* kufanyana watoto

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Wajerumani ifikapo 2020 vinu vyote vya nuclear watakua wamevifunga!wameshaanza kuvifunga
 
Tatizo wewe ni kilaza kama Tindu lissu ,Prof mtu wa research na data Lissu alitaka kujaribu amekumbana na kisiki cha taaluma na siasa zake za maji taka.

Bungeni leo asubuhi waziri akijibu swali la nyiongeza alilouliza Mh. Tundu lisu alisema kuwa co kweli kwamba japani wamefunga vinu vyao vya umeme vinavyoengeshwa kwa nguvu za nuclear...na pia ujerumani haina mpango wa kuvifunga vinu vyake vya umeme vya nuclear..
1 kwa taarifa za DW ujerumani inaompango wa kuvifunga vinu vyake vya Nuclear mpango ambao ulipitishwa na bunge la ujerumani hii ilitokana na ma2kio ya japani..ambapo asilimia kubwa ya wajerumani waliliunga mkono pendekezo hilo. Ila kwanza wanatafuta njia mbadala ya kupata umeme wa uhakika ambao hautakua na madhara.source DW swahili.
Kutokana na sababu hizo wataalmu wa maswala ya Nuclear wako kwenye utafiwa wa kuya2mia madini ya uranium kwa ajili ya zalishia mafuta ambayo yatakuwa na uwezo wa ku2mika kama source ya nishati. HIVYO BASI SOKO LA URANIUM LITAKUWA PALE PALE HATA VINU VIKIFUNGWA.
NA HILI NDILO JIBU AMBALO MH. WAZIRI ALITAKIWA KUMPATIA MBUNGE NA SI KEJELI KAMA ALIVYOLIJIBU LEO BUNGENI
CTAKI KUAMINI KUWA WAZIRI WE2 AMESHAKUWA MWANASIASA GHAFLA HIVI. NIHAYO 2 WAUNGWANA
 
Tatizo wewe ni kilaza kama Tindu lissu ,Prof mtu wa research na data Lissu alitaka kujaribu amekumbana na kisiki cha taaluma na siasa zake za maji taka.

mmh! research au ramli? Siku mitambo hiyo ikifungwa?
 
Tatizo wewe ni kilaza kama Tindu lissu ,Prof mtu wa research na data Lissu alitaka kujaribu amekumbana na kisiki cha taaluma na siasa zake za maji taka.

hapa czungumzii siasa ni uhalisia wa jambo kudanganyana kumepitwa na wakati taarifa nje nje vyombo vya habari lukuki inakuaje mshindwe kupata habari za uhakika na kujibu kwa swaga sio dili wa2 wanataka ukweli cio blaa blaairimradi ucfiwe
 
Kwa ccm hamna msomi wala kilaza, wote huwaza sawa. It's very useless political part.
 
Hata mimi nimemshangaa prof. ameshakuwa mwanasiasa

Profesa kachemsha: Soma hapa:

TAGS: Ecology, Global economy

German energy firms are suing the government for €15 billion in damages over the decision to shut down all the country’s nuclear reactors by 2022.

*The country's largest power utility E.ON is demanding 8 billion euros for the enforced shutdown of its nuclear power stations, the German daily Frankfurter Allgemeine Zeitung reported. The company expects the German constitutional court would prevail, E.ON’s spokesman said.

The German government already faces a series of lawsuits against its policy to abandon atomic energy. The country’s second biggest power company RWE has also filed a complaint against nuclear exit decision, arguing it violated the company’s proprietary rights. Last year RWE sued the Government over a nuclear-fuel tax, saying it would cost RWE between €300 million and €400 million per year.

Swedish energy provider Vattenfall is also considering a suit, according to FAZ. Vattenfall has a 66.7% stake in the Brunsbüttel nuclear plant, and 50% of the Kruemmel nuclear plant, both near Hamburg.

Energy companies say their complaints were not about the nuclear energy exit as it is largely supported in Germany, but about the lack of compensation for the companies affected by the “green’ shift in Germany’s energy policy.

Germany decided to switch off its eight oldest reactors in March 2011 after the Fukushima disaster in Japan. The other nine rectors currently operating are expected to be closed by 2022. The shift to green energy is estimated to cost German taxpayers as much as 20 billion euros over the next decade, according to the study presented by the country’s electricity distribution operators last month."
 
Hata hivyo kisiasa alifaulu kutoa a temporal response which saved him from further questions leaving him to prepare himself better. This is politically acceptable.
 
nashukuru kwa taifa, naona hawa jamaa bado wanajua tuna radio 1 tu, na walivyomshangilia wagonga meza, eti kisa prof, kwani ndo anjua kila ki2?
 
mimi nafikiri, wazirii alitakiwa kutoa maelezo kwamba, tanzania inamkakati gani wa rasilimali hiyo kutukima kuzalisha umeme utakao tumika hapa nchini, na sio madini yasafirishwe kwenad kutimika marekani na ulaya. Wantazania watafaidi nini katika uzalishaji huo, zaidi ya ajira mbazo zitawapelekea kufa haraka kutokana na mionzi ya madini yenyewe.
 
Back
Top Bottom