Kwa hili UDOSO MTOE TAMKO MARA MOJA NINI HATIMA YA hawa 511....

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Napenda kuchukua fursa hii kuwataka UDOSO,kutoa Tamko kabla ya j5,hatima ya Wanafunzi 511,waliosimamishwa Masomo Udom.
Nakutambua Rais wa UDOSO hata kama ni Wewe ni msichana Onyesha unaweza.
 
Tamko litoke jf au chuoni kwenu.Mna shida na manyanyaso kibao ila mpo kimya ngoja yawazidie ndo mtajua umuhimu kudai haki zenu. UDOSO WENYEWE NDO WASALITI WA WENZAO WE UNAFIKILI WATAWAPIGANIA KWA MTINDO GANI.
 
Mnalalamika nini? Si mlitoa hela kumchangia jeikei? Muiteni atatue matatizo yenu ya hapo!
 
Shukuru kawambwa keshapiga mkwara atakayeanzisha mgomo inakula kwake...vijana wa UDOM hawajakomaa ku handle issues nzito kama hizo...na masuala ya kisiasa yanakiharibu sana chuo hicho.
 
Shukuru kawambwa keshapiga mkwara atakayeanzisha mgomo inakula kwake...vijana wa UDOM hawajakomaa ku handle issues nzito kama hizo...na masuala ya kisiasa yanakiharibu sana chuo hicho.
Viongozi wao wanauwezo mkubwa,kulifkisha hlo,who z kawambwa?
 
Matatizo ya kuchangia bila kujua,mi c mwanachuo hapo chuo cha vilaza dodoma,ila jamaa zangu kibao wamesimamishwa,usifkr kila anaezungumzia udom ni wa udom.

Wewe ni she au he? Mana hilo jina na kwa jinsi unavyojibu hata hufanani!
 
Zubeda bibie tutake radhi wana Udom kwani nakuheshim sana unaposema Vilaza unataka kusema nn zaidi juu ya wana wa Udom?
 
Sijui nyie Udom soko lenu la ajira lijatakuwa je huko baadae
 
Zubeda bibie tutake radhi wana Udom kwani nakuheshim sana unaposema Vilaza unataka kusema nn zaidi juu ya wana wa Udom?
Aisee kijana ndo majina hayo yapaswa 2waite nao kwani kitendo cha wenzenu 511 kusimamishwa na UDOSO
Kukaa kimya ni uwoga na udhaifu.

There shall be general objectives of UDOSO as here under

The general objectiues provided,
The law of 2007 act No.6

.a).to protect and promote student interest in all aspects of their lives during their tenure at The Universit of Dodoma

g) UDOSO may act as the intermediary between the students and the University administration,the government of the United republic of Tanzania and all other students sponsors.

Kama cjavielewa hv vifungu vzr.
 
Back
Top Bottom