Kwa hili Udom panatisha

acha udini umeenda dodoma kusoma ama kuangalia nani mwislamu nani mkristo? hujui kuna wakristo wanaitwa Juma
 
Ubarikiwe kwa kutuletea habari motomoto kama hii.Ukipata nyingine uwanja ni wako.Kuhusu huo uchaguzi,tukubali tusikubali,hili linchi limeshakuwa corrupt kuanzia ngazi ya kaya mpaka huko walipo wenye nchi!Mambo yanaendeshwa ndivyo sivyo ili mradi yaishe na watu wasiostahili ndiwo washikao hatamu!
 
acha udini umeenda dodoma kusoma ama kuangalia nani mwislamu nani mkristo? hujui kuna wakristo wanaitwa Juma

hata kama ni mdini potelea mbali lakini hali ni mbaya kwa wakrito kwani wanafukuzwa hovyo tu
 
Mimi nilipost Ritz na wenzake wakajamba kumbe walikuwa wanaharisha.Ona sasa huu uchafu.
 
acha udini umeenda dodoma kusoma ama kuangalia nani mwislamu nani mkristo? hujui kuna wakristo wanaitwa Juma

Hujui kama ccm ndo wanakiharibu hiki chuo? Sidhani kama kitakuwa competitive ktk outlet zake sokoni nawahurtmia sana waliopo pale, ktk hili la udini inaonyesha serikali inawaogopa waislamu na kujaribu kuwabembeleza na wadhifa mbalimbali japo hawawezi na wengine hawana qualification na hili ndilo linalotuangamiza watz
 
Gomeni tena mwaya mrudi nyumbani. Mbona huzungumzii jinsi mlivyoshikishwa adabu na uongozi? Tunasikia siku hizi Social Science hakuna vichupi wala vimini, ni kweli ati?

Tumesikia kwamba UDOM -College of Education kuanzia Block Leader ni Chadema mpaka ngazi za juu? Mbona U-vyama haulalamikiwi ilan Udini unalalamikiwa sana? Fanyeni mfunge chuo kwanza ili malalamiko ya UDOM yapungue.
 
hata kama ni mdini potelea mbali lakini hali ni mbaya kwa wakrito kwani wanafukuzwa hovyo tu

kwa hyo lalamiko ni uchaguzi wa udini au kufukuzwa kwa wakristo? weka sababu za kufukuzwa.
 
tunalamimika 2 tuanze kupambana kwa vitendo. hatutafika kwa style hii bwashe. hivi huu si ni utahira chuo cha watu zaidi ya elfu kumi anatuongoza mtu aliyepata kura sizozidi mia tano. hivi nchi kuna wasomi kweli. tuamke kuanzia kesho tulianzishe.
 
raisi federation- mkristo
Makamu-mkristo
Raisi social-muislamu(idi)
Makamu-mkristo(baraka)
School representative social-mkristo(theonas)
Wabunge wapo 10,
1.kawiche bernard
2.mjaka mjaka
3.mwenda william
4.mtono juma
5.hassan kilingo
6.madundo elizabeth
7. Noel stanley
8.rabson melodina
9. Timu inlakunda
10. Naal samwel.

Jaman wana jf naamini nyie ni great thinkers hivi kuna udini hapo??

Na kama upo nani anaebagua wenzie?

Kati ya hao viongozi wa juu social 15 watatu tu ndio waislamu na 12 wakristo je kuna ubaguzi??

Hii ina maana asilimia 80 ya viongozi wakristo na waislamu ni asilimia 20 tu jamani acheni kutuonea waisilamu.

Kama kuna data ya uongo hapo juu naomba mtu alete zake na mwanzisha topic uache unafiki maana unajua unachoongea ni uongo then unaleta uhasama humu
 
udom udini uko 99%,uccm 100% ukabila (sisi wahaya,sisi wachaga,+ uzanzibari nautanganyika) 95%...kifupi pale pameoza kwampasuko ktkt maeneo hayo kuanzia uongozi wajuu hadi vinyamkera viongozi wacollege mbalimbali,kila mtu anajifanya mungu mtu!ila kunavipemba flani hivi office ya coed vinajifanya ndio vyenye chuo subirieni muungano uvunjike kama hamjarudi kwenu naviboko.udom imekaa vibaya sana sahivi bora sisi kizazi chakabeho.
 
hvyo vitu vnaenda pamoja. din na elimu vyote ni vya muhimu, kama kweli tume hyo aliyoisema huyo bwana ina watu hao tisa kat ya kum. Huo sio uwiano mzuri, lakn nna wasiwasi na uongoz wa chuo hcho, ikiwa n pamoja na ule wa juu, kuwa hauna maamuzi pambanuzi. Ikumaukwe kuwa siasa safi na ya kidemokrasia huanzia ngaz za chn ikiwa ni pamoja na chuo. USHAURI WANGU: Kama kweli iko hvo basi uongozi w chuo uingilie kat kujua kwanin iko hvo ilivo.
 
Kila mamlaka Mungu huiruhusu kwahiyo iheshimiwe. Hiki kizaz sijui kinatoka wapi hamsomi hata maandiko?
 
Tatizo wakristo wakiona muislam ameshika nafasi tu bac utasikia udini mbona vyuo karibia vyote viongozi ni wa kuu ni wakristo amsemi nyinyi ni wadini sana
 
Back
Top Bottom