MPAMBANAJI.COM
JF-Expert Member
- Mar 2, 2011
- 712
- 331
Mbali na itikadi za kichama tunaomba uongozi wa CHADEMA utoe tamko lao kuhusu misaada na sera za ushoga toka Uingereza kupitia chama cha Concervative. Bado tunahitaji msimamo wa serikali mbadala ya CHADEMA either kupitia waziri kivuli wake wa mambo ya ndani au yeyote atakayeteuliwa kusema kwa niaba ya chama. Tunatambua pia changamoto wazipatazo makada wa chadema hususani kule Arusha.