Kwa hili, sitamsahau Mh Waziri mstaafu Edward Lowassa

Status
Not open for further replies.

NIMEKIMBIA CCM

Senior Member
Oct 4, 2011
193
26
Jamani tuweke tofauti ya vyama na itikadi ze2,ndio El amekumbwa na kashfa nying sana,but mkubali, mkatae Edward Lowasa alikuwa ni kiongozi muajibikaji sana mfano ni kule kujiuzuru(ieleweke alikuwa ana uwezo wa ku2mia mabavu kuendelea kuwa waziri),naamin hiki kilio cha wanafunzi wa vyuo vikuu kukosa mkopo waziri mstaf angekuwa kashafanya mamuz mazur,huu n ukweli kwa upande wa uzuri wake,ntamkumbuka sana lowasa kwa kufanya maamuz magumu hasa kung'atuka bada ya kuikosea jami'
SASA CJUI MWENZETu(mze wa kukenua) UTAJIUZURU AU!
 
huyo kwa sasa anafaa kulinda au kusuka rasta za wamama kama wamasai wenzake Kariakoo. kama ana ubavu apinge huu mswada feki wa Katiba, vinginevyo asahau kuwa Rais wa TZ.
 
Huyu si Waziri mkuu staafu mleta mada bali ni Waziri aliejiuzuru hope umenipata
 
hivi how much do these people receive kwa kukampenia power mongers?

And what is the ultimate cost of all these to our country?
 
huu ugonjwa wa kuandika ama kusema waziri mkuu mstaafu kuna nishangaza sana. Ugonjwa huu uko sasa tbc1 na star tv, huyu bwana alijiuzuru huwa mnaogopa nini kusema hivyo? Kwakuwatazama mnaonekana mmesoma kwa jinsi mnavyopigilia pamba bila kukosea, iweje issue nyeti kama hii ya waziri mkuu kujiuzuru mnaikosea?
 
na ule mpango aliofanya na usalama wa taifa kuwawekea sumu mwakyembe na mwandosya unauzungumziaje?
 
Jamani tuweke tofauti ya vyama na itikadi ze2,ndio El amekumbwa na kashfa nying sana,but mkubali, mkatae Edward Lowasa alikuwa ni kiongozi muajibikaji sana mfano ni kule kujiuzuru(ieleweke alikuwa ana uwezo wa ku2mia mabavu kuendelea kuwa waziri),naamin hiki kilio cha wanafunzi wa vyuo vikuu kukosa mkopo waziri mstaf angekuwa kashafanya mamuz mazur,huu n ukweli kwa upande wa uzuri wake,ntamkumbuka sana lowasa kwa kufanya maamuz magumu hasa kung'atuka bada ya kuikosea jami'
SASA CJUI MWENZETu(mze wa kukenua) UTAJIUZURU AU!

Sidhani kama nimekuelewa mkuu, nadhani kabla
hujaposti ungekuwa unapitia tena post yako ili
kurekebisha spelling (makosa) na nafasi katikati
ya maneno, pia acha uandishi wa kihuni unaofanywa
na wanafunzi kule kwenye mtandao wa facebook,
otherwise ulikuwa na hoja nzuri ambayo ingeweza
kujadiliwa...
 
huu ugonjwa wa kuandika ama kusema waziri mkuu mstaafu kuna nishangaza sana. Ugonjwa huu uko sasa tbc1 na star tv, huyu bwana alijiuzuru huwa mnaogopa nini kusema hivyo? Kwakuwatazama mnaonekana mmesoma kwa jinsi mnavyopigilia pamba bila kukosea, iweje issue nyeti kama hii ya waziri mkuu kujiuzuru mnaikosea?

Tufundishe tumuitaje? Mtu ukuresign ni tofauti na ukiwa terminated, ni mstaafu kwasababu alimaliza ila kwa resign na ndo maana anahesabika kama waziri mkuu mstaafu, angefukuzwa asingepata hiyo heshima na wala mafao na marupurupu ya waziri mkuu asingepata. Hata wewe ukiresign inakuwa hivyhivyo usikariri ni suala la kisheria hilo mjomba
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom